Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Odysee imetangaza rasmi haitaweka matangazo kwenye platform yake.

- Odysee ni jukwaa la kushirikisha video ambalo linaruhusu watumiaji kupakia, kutazama, na kushiriki video kama ilivyo kwa YouTube. Tofauti yake kuu inaruhusu watumiaji kuwa na umiliki zaidi juu ya maudhui yao.
🆕 Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itaongeza itaanza kuwalipa waundaji wa maudhui nchini Tanzania kupitia Facebook na Instagram.

🔘 Pia mwezi huu kampuni ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa creators wa Kenya.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
#marvel #deadpool #wolverine
Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Review ya Deadpool & Wolverine Review nimeipa ujazo wa kutosha Youtube Hatua kwa Hatua #deadpoolwolverine Cc @mandasistore
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

10 Important Python Concepts In 20 Minutes
In today's video we are going to be learning about 10 important Python concepts.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Intro
00:05 .py files
00:35 Variables
01:33 Basic data types
03:00 Type annotations
04:57 Constants
06:14 Functions
09:40 Classes
10:05 Initialisers
12:24 Methods
15:18 Dunder methods
18:12 Conclusion
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

We are Launching More Channels!
Hello everyone, Please check out my mechanical engineering channel here - https://www.youtube.com/@MechanicalEngineering-bu5kf
The remaining channels will be in launched in 2-3 months.
Cheers Sabin Mathew
Wadau wa Android mpoo? 🤣

📲 Mama amepiga picha ya selfie kwa kutumia iPhone
🆕 Elon Musk na X imefungua mashtaka dhidi ya GARM, ikidai GARM ilihusika na kuhimiza makampuni kushirikiana kugoma kuweka matangazo.

🔘 Ripoti ya Kamati ya Mahakama ya Bunge la Marekani inadai GARM ni kweli ilihusika.

🔘 GARM inawakilisha makampuni kama Disney na Walmart.
🆕 App ya Blackmagic Camera App 2.0 imeanza kuruhusu kurekodi kwa kutumia iPhone nyingi kwa pamoja.

Pia imeanza kupatikana kwa watumiaji wa iPad
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Performance, Features, and Review! NiPoGi Alder Lake N97 Mini PC
NiPoGi Alder Lake-N97 Mini PC
amazon【 https://www.amazon.fr/dp/B0CXCT4M2F?ref=myi_title_dp
Code:GK3PLUSN97
Discount: Best deal/ Prime + 6% off code
Start Date:07/08/2024 10:00 CEST
End Date:14/08/2024 23:59 CEST
Original price: 249€
Final Price: 187.06€
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【https://ko-fi.com/inventorkr/shop】
****************************
JLCPCB 1-8 Layer PCB at $2 - 【 https://jlcpcb.com/?from=inventorKR
Sign Up Here to Get $60 New User Coupons
****************************
Altium 365 here : 【 https://www.altium365.com/yt/inventorkr
****************************
For business enquiries here : 【 electronicsk66@gmail.com 】
****************************
DISCLAIMERS
Some of the links in this video description and in the comments below are affiliate links. If you make a purchase after clicking on one, at no extra cost...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 CRAZIEST OFF ROAD VEHICLES THAT EVERYONE WILL WANT TO RIDE
🆕 CEO wa Reddit amesema Reddit itaweka Search 🔍 ambayo inatumia Akili Bandia na Subreddit ambazo mtu atakuwa analipia ili kuona maudhui
Imekuchukua miaka mingapi kufahanu herufi zilizopo katika jina la TOYOTA zote zipo katika logo yake?