Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno S1 Frp Remove Google Account Download Unlock Tool One Click Away!!!
TECNO S1 Frp Bypass Frp Remove With One Click New.

For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS CONSTRUCTION WORKERS OF ANOTHER LEVEL
https://www.youtube.com/watch?v=e9-SXlMGw3c

https://www.tiktok.com/@ozcan_dekorasyon/video/7015583362542734594

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
🆕 Apple imeongeza sehemu mpya ya "Edit Pages" katika settings za Home Screen
🆕 Apple imeweka uhuru wa kubadilisha upande wa Carousel za Photos na itakuwa ni rahisi na shortcut rahisi ku-swipe katika kufungua folders za Photos
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 18 Beta toleo la 5
🆕 Apple imebadili mwonekano wa baadhi ya icons za Control Center katika iOS 18 Beta 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1820844017795412108#m
🆕 Apple imeboresha tena mwonekano wa icons zake katika Dark Mode
🆕 Google imeweka mfumo wa Lens na Gemini AI katika browser yake ya Chrome.

- Itakuwa ni rahisi kutafuta vitu unavyoona mtandaoni kwa kutumia Google Lens na kutumia AI katika kuperuzi mfano kuona summary za tovuti.
🆕 Safari itakuwa na mfumo wa kuondoa matangazo na taarifa ambazo hazina umuhimu kwenye tovuti.

Hii ni feature ya msingi sana na itasaidia sana katika kuperuzi mtandaoni
🆕 Odysee imetangaza rasmi haitaweka matangazo kwenye platform yake.

- Odysee ni jukwaa la kushirikisha video ambalo linaruhusu watumiaji kupakia, kutazama, na kushiriki video kama ilivyo kwa YouTube. Tofauti yake kuu inaruhusu watumiaji kuwa na umiliki zaidi juu ya maudhui yao.
🆕 Kwa mujibu wa JamiiForums, kampuni ya Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itaongeza itaanza kuwalipa waundaji wa maudhui nchini Tanzania kupitia Facebook na Instagram.

🔘 Pia mwezi huu kampuni ya Meta imerudisha mfumo na utaratibu wa kulipa creators wa Kenya.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
#marvel #deadpool #wolverine
Deadpool & Wolverine Review | Hatua kwa Hatua
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Review ya Deadpool & Wolverine Review nimeipa ujazo wa kutosha Youtube Hatua kwa Hatua #deadpoolwolverine Cc @mandasistore
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

10 Important Python Concepts In 20 Minutes
In today's video we are going to be learning about 10 important Python concepts.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Intro
00:05 .py files
00:35 Variables
01:33 Basic data types
03:00 Type annotations
04:57 Constants
06:14 Functions
09:40 Classes
10:05 Initialisers
12:24 Methods
15:18 Dunder methods
18:12 Conclusion
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

We are Launching More Channels!
Hello everyone, Please check out my mechanical engineering channel here - https://www.youtube.com/@MechanicalEngineering-bu5kf
The remaining channels will be in launched in 2-3 months.
Cheers Sabin Mathew
Wadau wa Android mpoo? 🤣

📲 Mama amepiga picha ya selfie kwa kutumia iPhone
🆕 Elon Musk na X imefungua mashtaka dhidi ya GARM, ikidai GARM ilihusika na kuhimiza makampuni kushirikiana kugoma kuweka matangazo.

🔘 Ripoti ya Kamati ya Mahakama ya Bunge la Marekani inadai GARM ni kweli ilihusika.

🔘 GARM inawakilisha makampuni kama Disney na Walmart.
🆕 App ya Blackmagic Camera App 2.0 imeanza kuruhusu kurekodi kwa kutumia iPhone nyingi kwa pamoja.

Pia imeanza kupatikana kwa watumiaji wa iPad