Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
ChatGPT Prompt Engineering for Website Mastery!
Master the art of ChatGPT prompt engineering for websites with our comprehensive guide! In this video, we break down essential techniques and tips to help you optimize your website using advanced ChatGPT prompts. Whether you are a beginner or an experienced developer, you will find valuable insights to improve your website's performance and user engagement. From creating effective prompts to integrating them seamlessly into your website, we cover it all. Watch now and take your website development skills to the next level with ChatGPT!
#ChatGPT
#PromptEngineering
#WebsiteDevelopment
#SEO
#WebOptimization
#TechTips
#AI
#WebDesign
#DigitalMarketing
#Coding

🆕 Picha za matangazo ya Google Pixel 9 zimevuja.
🔘 Zinaonyesha Pixel 9 Pro XL na Pixel 9 Pro Fold, zenye muundo mpya na vipengele vya AI.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🛰️ NASA imefanikiwa kutuma video za 4K kutoka kwenye ndege hadi Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS).
🔘 Njia hii inaweza kutuma data 100x haraka kuliko mawimbi ya redio. Katika siku zijazo, tunaweza kuona matangazo ya moja kwa moja ya 4K kutoka Mwezi kwenye TV za 8K! 🚀🌕
🔘 Njia hii inaweza kutuma data 100x haraka kuliko mawimbi ya redio. Katika siku zijazo, tunaweza kuona matangazo ya moja kwa moja ya 4K kutoka Mwezi kwenye TV za 8K! 🚀🌕
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
APP 10 BORA ZA MIKOPO KWA NJIA YA SIMU
App 10 bora za mkopo kwa njia ya simu.
mkopo kwa njia ya simu ya mkononi
Karibu Maujanja Zone! Katika video hii, tunakuletea app 10 bora za mikopo unazoweza kupakua kwenye Play Store na kupata mikopo kwa urahisi kupitia simu yako. Kama unatafuta njia rahisi ya kupata fedha za dharura, video hii ni kwa ajili yako. Tunaangalia app zenye urahisi wa matumizi, riba nafuu, na huduma bora kwa wateja.
App zilizojadiliwa katika video hii ni:
1. Branch
2. Pesax
3. TigoPesa kupitia Nivushe Plus
4. Twiga Loan
5. NMB Bank Mobile Service kupitia Mshiko Fasta
6. Mkopo Wako
7. Cashx
8. Pata Pesa
9. Twinga Loan
Kwa nini uangalie video hii?
• Maelezo ya Kina: Tunakupa maelezo ya kina kuhusu kila app, faida zake, na jinsi ya kuzipata.
• Urahisi wa Matumizi: Jifunze jinsi ya kutumia app hizi kupata mikopo haraka na kwa urahisi.
• Tips za Mikopo: Pata vidokezo muhimu vya jinsi ya kudhibiti mikopo yako na kuimarisha historia yako ya mikopo.
Usisahau:
• Kutoa...

📺 Usikose kuitazama hii interview ya Mark Zuckerberg akilielezea mengi kuhusu AI na maisha yake buff.ly/46lkpGM
YouTube
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
If the latest battle in the AI wars is between open and closed models, Meta CEO and Founder Mark Zuckerberg is right on the frontlines. Since rebranding as Meta in 2021, the trillion-dollar company, formerly known as Facebook, has been pouring billions into…
💰 Ripoti mpya zinaonesha matatizo ya kimfumo yaliyotokea wiki iliyopita yamepelekea hasara ya zaidi ya dola bilioni 5.4 (~shilingi trilioni 14.6)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 OpenAI inafanya majaribio ya kutengeneza Search Engine yake ambayo itashindana na Google.
🔎 SearchGPT itakuwa inatumia akili bandia kuleta majibu, links na taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali mtandaoni kama Google
🔎 SearchGPT itakuwa inatumia akili bandia kuleta majibu, links na taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali mtandaoni kama Google
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Mwonekano wa One UI 7 umevuja, inaonekana itakuwa na style kama Dynamic Island ya iOS na animations mpya na baadhi ya icons zimebadilika.