Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Google itaweka mfumo wa kuweka kikomo cha kuchaji hadi 80% katika mfumo wa Android 15 ili kusaidia kutunza maisha ya betri kwenye simu za Android.
🆕 Google imeonyesha mwonekano mpya wa simu mpya ya Google Pixel 9 Pro Fold
🆕 Sehemu mpya ya Charging Optimization kwenye Android 15 itakuwa na option ya kuzuia betri iishie 80% tu kwenye kuchaji.

🔘 Ni njia inayotumika kutunza maisha ya betri. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1814872944146842050#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 CAMPING INVENTIONS THAT GO TO THE NEXT LEVEL
Mind Warehouse ►

1) BOLOTOR Bolo Packs


2) PKNK


3) Dometic GO
🏎️ Xiaomi SU7 Ultra
- Horsepower 1548hp
- Top speed yake ni 350km kwa lisaa
- 0kmh - 100kmh kwa sekunde 1.92
- 200kmh kwa sekunde 5.96
- Inafika full charge ndani ya dakika 12 kwa kutumia 897V
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT AllTrails GPT Tutorial
Level up your hike this weekend with the @AllTrails GPT. Now available to everyone in the GPT store—just hit “Explore GPTs” in the left sidebar!
🆕 Simu mpya ya Redmi K70 Ultra imeanza kutoka rasmi.

- OLED 6.67 1440 x 3200 pixels 120Hz HDR10+
- Android 14, HyperOS
- Snapdragon 8 Gen 2 (4 nm)
- 8K@24fps 4K@24/30/60fps
- Li-Po 5000 mAh 120W