Teknolojia
145 subscribers
3.87K photos
5.36K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
๐Ÿ†• Instagram imeweka sehemu ya Notes katika Posts na Reels; Sasa watumiaji watakuwa na uwezo wa kuandika Notes kwenye Reels na Posts.

๐Ÿ”˜ Notes zitakuwa zinafutika baada ya siku 3 na zinaonekana kwa marafiki wa karibu tu. Ni style mpya ya comments ambazo zinaonekana kwa urahisi.
๐Ÿ•ฐ๏ธ Hii ilikuwa tarehe 6th May 1968 - Toshiba Model 500 ya kupiga video call ilikuwa inafanyiwa majaribio nchini Japan
๐Ÿ†• Galaxy Tab S10 Plus zitakuwa na chip mpya ya MediaTek Dimensity 9300+
Hapa MKBHD ameonyesha ubaguzi waziwazi kwenye kampuni ya Kichina!

Ingekuwa Apple au Samsung au Google imefanya hivyo asingesema ni trend ya ajabu! https://twitter.com/MKBHD/status/1814662905326969140#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

@staticmethod explained in Python
In this video I'm going to be teaching you how to use @staticmethod in Python!

โ–ถ Beco
๐Ÿ†• Google itaweka mfumo wa kuweka kikomo cha kuchaji hadi 80% katika mfumo wa Android 15 ili kusaidia kutunza maisha ya betri kwenye simu za Android.
๐Ÿ†• Google imeonyesha mwonekano mpya wa simu mpya ya Google Pixel 9 Pro Fold
๐Ÿ†• Sehemu mpya ya Charging Optimization kwenye Android 15 itakuwa na option ya kuzuia betri iishie 80% tu kwenye kuchaji.

๐Ÿ”˜ Ni njia inayotumika kutunza maisha ya betri. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1814872944146842050#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

20 CAMPING INVENTIONS THAT GO TO THE NEXT LEVEL
Mind Warehouse โ–บ

1) BOLOTOR Bolo Packs


2) PKNK


3) Dometic GO
๐ŸŽ๏ธ Xiaomi SU7 Ultra
- Horsepower 1548hp
- Top speed yake ni 350km kwa lisaa
- 0kmh - 100kmh kwa sekunde 1.92
- 200kmh kwa sekunde 5.96
- Inafika full charge ndani ya dakika 12 kwa kutumia 897V