Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⌚️ Saa mpya ya Xiaomi Watch S4 Sport imetambulishwa rasmi.

πŸ”˜ Ina kioo cha AMOLED, ukubwa wa 1.43β€³, Titanium Body + Sapphire crystal glass na inatumia eSIM na mfumo wa HyperOS
Simple kabisa πŸ–₯️
πŸ†• Instagram imeweka sehemu ya Notes katika Posts na Reels; Sasa watumiaji watakuwa na uwezo wa kuandika Notes kwenye Reels na Posts.

πŸ”˜ Notes zitakuwa zinafutika baada ya siku 3 na zinaonekana kwa marafiki wa karibu tu. Ni style mpya ya comments ambazo zinaonekana kwa urahisi.
πŸ•°οΈ Hii ilikuwa tarehe 6th May 1968 - Toshiba Model 500 ya kupiga video call ilikuwa inafanyiwa majaribio nchini Japan
πŸ†• Galaxy Tab S10 Plus zitakuwa na chip mpya ya MediaTek Dimensity 9300+
Hapa MKBHD ameonyesha ubaguzi waziwazi kwenye kampuni ya Kichina!

Ingekuwa Apple au Samsung au Google imefanya hivyo asingesema ni trend ya ajabu! https://twitter.com/MKBHD/status/1814662905326969140#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

@staticmethod explained in Python
In this video I'm going to be teaching you how to use @staticmethod in Python!

β–Ά Beco
πŸ†• Google itaweka mfumo wa kuweka kikomo cha kuchaji hadi 80% katika mfumo wa Android 15 ili kusaidia kutunza maisha ya betri kwenye simu za Android.
πŸ†• Google imeonyesha mwonekano mpya wa simu mpya ya Google Pixel 9 Pro Fold