Teknolojia
134 subscribers
3.83K photos
4.65K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐ŸŽฎ Shindano kubwa duniani la kupigana kwenye video-game litafanyika July 19.

๐Ÿ”˜ Zaidi ya washiriki 10,000 watashindana.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

INGENIOUS INVENTIONS EVERY HOMEOWNER WOULD LIKE TO HAVE
1) Chefee Robotics



2) Mist360 Cyclone





+
2.1) Co
Kenya ilitarajia kuona watengeneza maudhui wake wa Facebook na Instagram wakianza kulipwa mwezi huu Julai lakini kutokana na yanayoendelea, Meta imesitisha uzinduzi huo.

"Tunakumbuka kuwa huu ni wakati nyeti nchini na kwa heshima tumesitisha uzinduzi kwa muda." - Moon Baz
๐Ÿ†• App mpya ya Microsoft Design sasa imeanza kupatikana kwenye iOS na Android

๐Ÿ”˜ App hii inatumia akili bandia katika kurahisisha kazi za kiubunifu. Mwanzo ilikwepo kwenye Web na kompyuta tu.
โŒš๏ธ Saa mpya ya Xiaomi Watch S4 Sport imetambulishwa rasmi.

๐Ÿ”˜ Ina kioo cha AMOLED, ukubwa wa 1.43โ€ณ, Titanium Body + Sapphire crystal glass na inatumia eSIM na mfumo wa HyperOS
Simple kabisa ๐Ÿ–ฅ๏ธ
๐Ÿ†• Instagram imeweka sehemu ya Notes katika Posts na Reels; Sasa watumiaji watakuwa na uwezo wa kuandika Notes kwenye Reels na Posts.

๐Ÿ”˜ Notes zitakuwa zinafutika baada ya siku 3 na zinaonekana kwa marafiki wa karibu tu. Ni style mpya ya comments ambazo zinaonekana kwa urahisi.
๐Ÿ•ฐ๏ธ Hii ilikuwa tarehe 6th May 1968 - Toshiba Model 500 ya kupiga video call ilikuwa inafanyiwa majaribio nchini Japan
๐Ÿ†• Galaxy Tab S10 Plus zitakuwa na chip mpya ya MediaTek Dimensity 9300+