Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• Apple imeanzisha app mpya ya 'Final Cut Camera' kwa watumiaji wote wa iPhone
πŸ†• Toleo la Vision Pro mpya ambazo zitakuwa za bei nafuu na kulenga soko la bei ya chini - zitakuwa na mfumo ambao mtumiaji atalazimika kuunganisha na simu au Macs ili kuitumia.

πŸ”˜ Apple itapunguza uwezo wake iwe tegemezi na kifaa kingine ili hizi ziwe za bei nafuu zaidi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Infinix Smart 7 HD Hard Reset Infinix X6516 Remove Screen Lock Tool Free!!
infinix smart 7 hd hard reset,infinix smart 7
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Youtube sio Mama Yetu!
#snashtz #yotube #tanzania
Mimi ni mmoja wa wazalishaji wa maudhui hapa Tanzania. Kwa miaka kadhaa sasa, tumekuwa tukijitahidi kuunda maudhui ya ubunifu ambayo yamehamasishwa na tamaduni zetu na maisha yetu ya kila siku, na tungependa kuchangia kwa njia inayofaa zaidi.

Kwa uzoefu wangu na changamoto tulizokumbana nazo kwenye majukwaa ya sasa, ningependa kuleta fursa ya kipekee kwa jamii ya waundaji wa maudhui hapa Tanzania. Nina wazo la kwamba ni bora kuundwe jukwaa la video-sharing , ambalo linazingatia soko la Tanzania na linajitahidi kuboresha malipo kwa waundaji wa maudhui.

Hapa kuna sababu kadhaa za kwanini jukwaa hili litakuwa tofauti na yale tunayoyaona sasa:

Malipo Bora kwa Waundaji wa Maudhui: Tunaamini katika haki ya waundaji wa maudhui kulipwa ipasavyo kwa kazi zao. Jukwaa letu...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Master -Excel: njia 5 za jinsi ya kufanya filtering [ 4 ] #nk
Master -Excel: njia 5 za jinsi ya kufanya filtering [ 4 ]
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Learn How to Factory Data Reset Infinix Smart 7 HD Working 100%
infinix smart 7 hd hard reset,how to hard reset infinix
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

MAJI NI HATARI KWENYE UMEME LAKINI YANATUMIKA HIVI KUZALISHA UMEME.
πŸ“œ Innovation for the future
we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.

In today's session, we are looking at how hydroelectric power is generated.

We greatly respect all YouTube policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.

message at Email: perfectsidetz@gmail.com

subscribe our channel πŸ””

KIPINDI...
MAJI NI HATARI KWENYE UMEME LAKINI YANATUMIKA HIVI
πŸ“± Wiki hii watu wanaanza kuagiza simu za Galaxy Z Fold 6 na simu za Z Flip 6

Simu hizi zitatambulishwa rasmi July 10 kwenye #GalaxyUnpacked
πŸ†• Apple na Meta ya kuweka ushirikiano wa AI.

πŸ”˜ Apple inalenga kuongeza vipengele vya AI kwenye bidhaa zake na kuweka Meta AI kwenye vifaa vya Apple kama vile iPhone, iPad na Mac.

#Teknolojia #Apple #Meta #AI