Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🕰️ App ya Reddit imetimiza miaka 19 tangu ilipoanzishwa rasmi June 23, 2005
🆕 Bugatti Tourbillon, mrithi mpya wa Chiron, inakuja na nguvu ya 1,800-hp V16-PHEV!

🔘 Gari hili la kifahari lina injini ya 8.3-lita V16 na mfumo wa hybrid unaotoa 800 hp. Bei ya kuanzia Bil 10 TZS.

🔘 Itapatikana 2026, zitakuwa gari 250 tu! 🚗💨 #Bugatti #Tourbillon #Magari
🆕 Apple imeanzisha app mpya ya 'Final Cut Camera' kwa watumiaji wote wa iPhone
🆕 Toleo la Vision Pro mpya ambazo zitakuwa za bei nafuu na kulenga soko la bei ya chini - zitakuwa na mfumo ambao mtumiaji atalazimika kuunganisha na simu au Macs ili kuitumia.

🔘 Apple itapunguza uwezo wake iwe tegemezi na kifaa kingine ili hizi ziwe za bei nafuu zaidi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Infinix Smart 7 HD Hard Reset Infinix X6516 Remove Screen Lock Tool Free!!
infinix smart 7 hd hard reset,infinix smart 7
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Youtube sio Mama Yetu!
#snashtz #yotube #tanzania
Mimi ni mmoja wa wazalishaji wa maudhui hapa Tanzania. Kwa miaka kadhaa sasa, tumekuwa tukijitahidi kuunda maudhui ya ubunifu ambayo yamehamasishwa na tamaduni zetu na maisha yetu ya kila siku, na tungependa kuchangia kwa njia inayofaa zaidi.

Kwa uzoefu wangu na changamoto tulizokumbana nazo kwenye majukwaa ya sasa, ningependa kuleta fursa ya kipekee kwa jamii ya waundaji wa maudhui hapa Tanzania. Nina wazo la kwamba ni bora kuundwe jukwaa la video-sharing , ambalo linazingatia soko la Tanzania na linajitahidi kuboresha malipo kwa waundaji wa maudhui.

Hapa kuna sababu kadhaa za kwanini jukwaa hili litakuwa tofauti na yale tunayoyaona sasa:

Malipo Bora kwa Waundaji wa Maudhui: Tunaamini katika haki ya waundaji wa maudhui kulipwa ipasavyo kwa kazi zao. Jukwaa letu...