Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸŽ₯ Majibu ya Elon kuhusu majaribio ya nne ya chombo cha Spaceship.

πŸ”˜ Majaribio haya yaliyofanyika wiki hii na kuonyesha mafanikio makubwa.

- Link kwenye comment πŸ‘‡πŸ½
πŸ†• YouTube inafanya majaribio ya kuweka mwonekano mpya kwa watumiaji wa kompyuta.

πŸ”˜ Itakuwa ni rahisi kusoma comments pembeni ya video ambayo unaitazama, tofauti na mwanzo ambapo unalazimika kushuka chini ya video ili kusoma comments.
πŸ“Š Kwa mujibu wa ripoti mpya za robo ya kwanza ya mwaka huu, Samsung ndio kampuni ambayo inaongoza kwa mauzo ya simu katika Bara la Ulaya
πŸ†• Rivian imeboresha SUV ya umeme ya R1S na gari la mizigo la R1T kwa kubadilisha sehemu 600, kuongeza utendaji, na kushusha gharama.

⚑️ Magari haya yana ubora bora wa safari za mazingira ya aina zote, na vipengele vipya kama paa lenye tint ya umeme. #Rivian
πŸš€ Falcon 9 ni roketi ya SpaceX, iliyoundwa kwa ajili ya kurusha mizigo na wanadamu nje ya dunia.

πŸš€ Inatumia teknolojia ya juu kuliko roketi nyingine zote duniani kwa sababu ina uwezo wa kutumika tena, ikipunguza gharama za safari za anga.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Samsung A32 A325F/M/N android 13 U7/8 frp bypass
Samsung A32 A325F/M/N android 13 U7/8 frp bypass by unlock tools mtk
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#frp #frpbypass #a32 #googleaccountremove #googleaccount #unlocktool #unlock #mobilerepairing #mobile #android13 #tipsandtricks
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to Hard Reset XIAOMI Redmi 10 Remove Screen Lock Wipe Data Without PC
hard reset redmi note 10,redmi 10 hard reset,r
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Infinix Smart 6 X657B Frp Bypass, Google Account Unlock Without PC Working 100%
infinix smart 6 frp bypass,infinix smart
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

MILITARY TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
1) Teledyne FLIR Rogue 1


2) Pulsar


3) Guardiaris





4
πŸ‘1