bongotech255 - Wako machinga complex ukifika wapigie 👇...
bongotech255 - Home | Facebook
Wako machinga complex ukifika wapigie 👇 +255692630904 | +255765171270
Kwa mahitaji mbalimbali kuhusu vifaa vya kompyuta follow 👇 @hyatzcomputers @zirene_laptop_accessories_tz @wikeltechnologies_tz Mikoani mnatumiwa kwa uwaminifu mkubwa Sana 🔥🔥 #mouse #mousepad #pcaccessories #laptop

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Sightful imetangaza ujio wa laptop isiyokuwa na kioo (Screenless) itakayofahamika kama Spacetop G1. Itakuwa kompyuta iliyoboreshwa kimuundo na iliyorahisishwa utumiaji wake kwa kuwa na miwani inayojumuisha "Augmented Reality".
Itaendeshwa kwenye mifumo ya SpaceOS na Qualcomm Snapdragon QCS8550. Spacetop G1 itamuwezesha mtumiaji kutumia Skrini Pepe (Virtual Screens) 100 kwa wakati, hivyo kutoa uwanda mpana wa matumizi ya hali ya juu kuleta ufanisi.
Inatarajiwa kuingia sokoni mwezi Oktoba mwaka huu na itaanza kuuzwa kwa Tsh. 4,428,500 sawa na $1,700 za kimarekani.
#Spacetop #AR #Laptop