Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make, wireless led, Wireless Magnetic Brick, experiment
wireless LED Light | New Amazing Idea, These wireless LED
Kitaratibu kila mwaka kuna emoji mpya ambazo zinaongezeka.

Mwaka huu kuna emoji mpya ambazo zitaanza kutoka kwenye mfumo mpya wa iOS 18 kwa watumiaji wa iPhone, mfumo mpya wa Android, Windows, Macs na mifumo yote kwenye vifaa ambavyo vinaweza kuonyesha emoji.

Hizi ndio Emoji ambazo zimependekezwa na zitaanza kutumika ramsi mwaka huu:

➜ Uso ambao unaonyesha uchovu - itakuwa na alama ya kuonyesha macho yamevimba na rangi inayozunguka upande wa chini wa macho.
➜ Alama ya kidole
➜ Mti usio na majani
➜ Mboga ya mzizi (kama beetroot)
➜ Kinubi
➜ Beleshi/Koleo
➜ Doa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Spotify imekuja na mwandiko/fonti mpya inayojulikana kama Spotify Mix ambayo imeanza kuonekana kupitia mifumo yake mbalimbali ikiwemo aplikesheni za Android, iOS, Kompyuta pamoja na tovuti.

Spotify inaeleza fonti ya Spotify Mix imezingatia:

Utekelezaji na mchanganyiko wa onyesho bora la uwezo. Urahisi na utekelezaji wa thamani ya uwekezaji wake katika kujenga mfumo wa usanifu wa majukwaa.

Fonti hii inayopatikana katika kundi la mwandiko wa San Serif imetengenezwa na timu ya Spotify Design kwa ushirikiano mkubwa na studio ya kutengeneza miandiko ya Dinamo Typefaces inayopatikana jijini Berlin, Ujerumani.

#Spotify #SpotifyMix
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Never do this ☠️💀 it's very dangerous /Inside the battery #shorts
Dear friends, never do this and if you want to do this, be sure to use a mask and gloves
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #battery #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

5 Really Cool Python Functions
In this video we are going to be learning about 5 really cool Python functions that I've
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL INVENTIONS FOR A PICKUP TRUCK
1) ROBINSON FIRE’S X-ONE TRUCK PACK



2) Frunk Bench


3) Kingspan TruckMast
🆕 Nvidia ina mpango wa kutengeneza laptop na kompyuta zake ambazo zitakuwa na chip za ARM ambazo pia zitakuwa na Graphics Cards kali za RTX.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hard Reset Tecno Pop 7 Tecno BF7 Reset Screenlock Pandora Tool Working 100%
Frp Bypass|Remove In Tecno SPARK GO 2023|POP
🆕 Instagram itaweka sehemu mpya ya Lately katika sehemu ya profile.

- Sehemu hii itakuwa katika upande wa Highlights na itakuwa inaonyesha Instagram Stories za siku 7 zilizopita.

- Instagram Stories zinaonekana kwa masaa 24 hivyo itakuwa ni sehemu ya watu kuona Stories zilizopita na zitakuwa zinajiweka automatic ndani ya siku 7 baada ya kuzipost kwenye Stories.

Watumiaji watakuwa na option ya kuamua kuruhusu au kuzima sehemu hii.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I Gave A Commencement Speech!
Commencement for the class of 2024 at the school I graduated from!

MKBHD Merch:

~
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

DC PUMP YA KIJANJA YA KISIMA CHA KUCHIMBA NA MKONO SOLAR W250
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Exclusive: GTA ni Game Bora ya Muda wote!
#snashtz #games #gta
Exclusive: GTA ni Game Bora ya Muda wote!
Google inajenga kebo kubwa ya kuungisha internet kutoka Afrika kwenda Australia, hii ni kebo ya kwanza ya intaneti ambayo itaunganisha bara la Afrika na Australia.

Kebo hiyo inaitwa “Umoja” (jina ambalo limetoka katika neno la Kiswahili); itaanzia Kenya na kupita nchi kadhaa kama vile Congo, Rwanda, Uganda, Zambia, Zimbabwe na Afrika ya Kusini - kutoka Afrika ya Kusini itaenda Australia moja kwa moja.

Mradi huu ni mkubwa na utaongeza speed na kupunguza changamoto za kukosekana kwa mawasiliano na kebo moja itakamilika mwaka 2026.

Google pia itatia saini ya Ushirikiano na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali ya Kenya ili kuharakisha juhudi za pamoja katika usalama wa mtandao, kukuza ujuzi wa kidijitali, na kutumia AI kwa uwajibikaji.

Ushirikiano huu ni sehemu ya dhamira kubwa ya Google kusaidia mabadiliko ya kidijitali barani Afrika, ukuaji wa kiuchumi, na ubunifu, ambayo ni pamoja na kuwekeza dola bilioni 1 katika kanda hii kwa kipindi cha miaka mitano.

Uwekezaji ...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Which is better? inverter 2400W or gasoline generator, TOMTOP
👇👇You can buy me coffee here

👇👇Circuits diagrams and code