Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

VAR Technology ya Soccer Inapoelekea ! "PlayerTracking Technology"
#snashtz #VAR #fifa
VAR Technology ya Soccer Inapoelekea ! "PlayerTracking Technology"
4 - Cutouts
Sehemu hii inawaruhusu watumiaji kubadilisha sehemu ya video au picha kuwa kibandiko (stika).
2 - Frames
Sticker hii itakuwa inaonyesha picha katika style ya frame ya picha ambayo mtu akitingisha simu ndio inaweza kuonekana.

Mfano utaweza kuruhusu marafiki kuweka kumbukumbu za picha za zamani; utatingisha simu ili kuona picha ya frame.
🆕 Kuanzia Mei 3 mwezi huu, Instagram imeongeza sehemu mpya za stickers nne na styles mpya katika platform yake.

Hizi ni stickers mpya ambazo zimeongezwa 👇🏽
3 - Reveal
Hii itakuwa ni style mpya ya kuficha picha ya Insta Story, itakuwa inaonekana baada ya mtu kutuma DM.

Mfano mtu anaweza kuuliza swali na kuweka picha ambayo ndio jibu, picha hiyo itaonekana kwa ambaye atajaribu kujibu kwa kutumia DM.
1 - Add Your Music
Watumiaji wa Instagram wataweza kuweka Instagram Story ambayo kushiriki nyimbo zako pendwa na kuona nyimbo ambazo marafiki zako wanapenda zaidi.

Mfano unaweza kuuliza watu ni wimbo upi ambao wanaupenda na kuweka sticker ambayo itaruhusu watu wengine kuweka Instagram Story yako na kuchagua muziki ambao wanataka wao. Na utaweza kuona nyimbo ambazo zimewekwa na marafiki zako.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

GAME Resident Evil 4 Remake Game Play, Chapter 1 First Mission
#snashtz #gameplay #residentevil4
GAME Resident Evil 4 Remake Game Play, Chapter 1 First Mission
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

VAR Technology ya Soccer Inapoelekea ! "PlayerTracking Technology" #Snashtz
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

GAME Resident Evil 4 Remake Game Play, Chapter 1 First Mission Full Video YouTube
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Learning Python in 2024 - Still worth it?
I read a lot of comments from a lot of people who are worried about AI taking
Matumizi ya Akili Bandia yameingia katika sherehe ya Met Gala baada ya picha za wasanii maarufu kama vile Katy Perry na Rihanna kutumika kuzalisha deepfakes. Picha hizi zilizosambaa kwenye mtandao wa X/Twitter zinaonyesha mabadiliko yaliyofanywa kwa kutumia Akili Bandia.

Hii ni hatua ya mwanzo katika matumizi ya Akili Bandia kubadilisha taswira na ukweli wa picha za watu maarufu. Ni muhimu sana kwa picha kama hizi kuwa na lebo na taarifa zinazoeleza kama ni halisi au deepfakes.

Mifano:
https://x.com/tereluprados/status/1787618574564999346

https://x.com/jxries/status/1787603212075233371
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INGENIOUS INVENTIONS FOR AN AUTO REPAIR SHOP
Mind Warehouse ►

1) Duobond RL-eez


2) Hunter Ultimate ADAS®
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to install 48V inverter with a 100Ah battery, Complete installation
48v inverter 7200W test with maximum continuous
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Google Pixel 8A Impressions: Just Get The 8!
Google drops Pixel 8A. But Pixel 8 is still goated.

Get a dbrand Hydrodip
Apple inajenga seva zake za AI kwa kutumia chip za M2 Ultra na M4.

Uamuzi wa Apple kujenga seva zake za AI ni sehemu ya mkakati wake wa kujumuisha usambazaji wake na kujitegemea. Apple itatumia chipu zake binafsi kuimarisha utendaji wa mifumo yake ya data na zana za AI.
⌛️ Muda si mrefu event ya Apple itaanza rasmi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Apple imetambulisha aina mpya ya penseli ya kidigitali - Apple Pencil Pro.

Penseli hii inafanya kazi kwenye iPad na itakuwa na uwezo mkubwa katika kuchora na kuandika.

Style mpya ambazo zimeongezeka ni
Squeeze Gesture, Haptic feedback, inatumia gyroscope na utaweza kuona mahali ilipo kwa kutumia mfumo wa FindMy.

Squeeze Gesture itaongeza urahisi wa matumizi, Haptic feedback itaboresha hisia wakati wa kuchora na kuandika, ikifanya uzoefu kuwa wa kina zaidi. Uwezo wa kutafuta penseli kupitia FindMy ni kipengele kingine cha kufurahisha, ambacho kitasaidia sana watumiaji kuepuka kupoteza penseli yao.