Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Python's "methodcaller" is very useful
Today we're going to be discussing another very useful function that I just recen
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

You've Never Seen It Before , Building a 4 stroke Internal Combustion Engine
to buy from here👇👇Building a 4 stroke Inter
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

AMAZING TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) IML-RESI PowerDrill®



2) VEVOR Pipe Blockage Detector Lo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Baada ya kuhudumia Kampuni mbalimbali ambazo zinajihusisha na uagizaji wa magari ,sasa nimekuja na kampuni yangu ya @snashmotors ambapo ofisi ipo #victoriaplace Asante sana wadau kwa kukaa karibu na mimi siku zote ! Sio tu kuagiza uliza chochote unachotaka kufahamu kuhusu Magari !
🆕 Muda si mrefu, watumiaji wa iPhone watakuwa na uwezo wa kuacha simu kwa fundi bila kuwa na wasiwasi wa kuipoteza.

🔘 Apple itaweka sehemu mpya ya “Repair Mode” ambayo itasaidia kuiweka simu katika hali ambayo ipo kwa fundi na bado mfumo wa “Find My” unaendelea kufanya kazi; bila kuwa na hofu ya fundi kukimbia na simu yako au kuwa na uwezo wa kufungua na kuona vitu vyako kwenye simu.

🔘 Kwa nchi nyingi watumiaji wa iPhone wakipelekea au kutuma iPhone kwenda katika wakala wa kurekebisha iPhone wanatakiwa kuzima mfumo wa “Find My”. Pia utaratibu huu unatumika hata kwa Apple Stores kubwa.

🔘 Mfumo huu utasaidia kuzuia mafundi wasiweze kuiba au kubadilisha simu za watu. Pia endapo kama mwizi akiiba simu ambayo ipo kwa fundi, bado mwenye iPhone atakuwa na uwezo wa kuona simu ilipo. Pia itasaidia kuzuia fundi wa simu au mwizi wa simu za fundi, asiweze kuweka Apple ID yake kwenye iPhone.

🔘 Mfumo huu umeanza katika iOS 17.5 na bado haujaanza katika Macs na Apple Watch. Device ambay...

View original post
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

POLICE INVENTIONS THAT YOU HAVEN'T SEEN YET
Mind Warehouse ►

1) SelectaDNA




2) VirTra




3) W Motors Ghiat
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12s frp bypass without pc
Xiaomi redmi note 12s frp bypass without pc

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#xiaomi #frp #frpbypass miui14 #googleaccountremove #googleaccount #redmi #mobilerepairing #mobile #note12s
🆕 Watumiaji wa Spotify ambao hawalipii - hawataanza kupata lyrics!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

USB #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #mobile #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu
🆕 Ripoti mpya za mauzo ya Apple zimetoka:

Mauzo yameshuka na faida ya Apple imeshuka katika robo ya pili (Q2) ya mwaka wa 2024. Mauzo yake yalikuwa dola bilioni $90.75 na faida ilikuwa dola bilioni $23.6.

Mauzo ya Apple:

- 📱 iPhone: Mauzo yameshuka kwa 10.46% yakifikia dola bilioni $45.96

- 💻🖥️ Mac: Mauzo yameongezeka kidogo kwa 3.9% yakifikia dola bilioni $7.45

- iPad: Mauzo yameshuka kwa 16.64% yakifikia dola bilioni $5.56

- 🎧 Vifaa vya Kuvaa, accessories, na Vingine: Mauzo yameshuka kwa 9.7% yakifikia dola bilioni $7.91

- 📺🎵 Huduma: Mauzo yaliongezeka kwa 14.2% yakifikia dola bilioni $23.87.
🆕 WhatsApp itaweka sehemu mpya ya Replies kwenye Channels.

- Pia imeweka mfumo wa kupokea majibu ya watu kushiriki mfano unaweza kuanzisha event na watu wakachagua kukubali au kushiriki kwenye event.

- Mabadiliko haya yataongeza interactions kwenye channels, lakini yanakwenda kuibadilisha WhatsApp kuwa social media app badala ya kuwa messenger app.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
App yako ya simu ambayo unaitumia kuona hali ya hewa inasemaje?
🆕 iPhone 16 zitakuwa na MagSafe nyembamba zaidi ya iPhone 15
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

AMAZING INVENTIONS THAT WILL SAVE YOUR LIFE
Mind Warehouse ►

1) AirMarker




2) FAST Board






3) Rescue