🆕👋 Kwaheri Google VPN
Google imetangaza kwamba itaondoa huduma yake ya VPN katika huduma za Google One. Kampuni hiyo inapanga kuondoa huduma hiyo hatua kwa hatua baadaye mnamo mwaka huu wa 2024, na kuathiri mipango yote ya Google One.
Huduma ya VPN ya Google ilianza mwaka 2020 na safari yake inakwenda kupotea mwaka huu. Google imesema kutokana na matumizi madogo ya VPN na watumiaji wa Google One, kampuni imeamua kukomesha huduma hiyo.
Google inazidi kuwa platform ambayo ina tabia ya kufuta huduma mbalimbali ambazo inazianzisha yenyewe.

KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ
Je, umechoshwa na picha zenye ubora hafifu au video zisizo dhahiri unapozituma kwenye status yako ya WhatsApp? Siri ya kushirikisha(kushare) Picha na Video za HD kwenye Status ya WhatsApp hii hapa➡️ https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kushare-picha-na-video-za-hd-kwenye-staus-ya-whatsapp/
#maujanja #teknokona #HDstatus.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
30 COOL GADGETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►
1) EXIT Fire'n'Go
2) Swytch
3) Pnümix
4) Sma
30 COOL GADGETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►
1) EXIT Fire'n'Go
2) Swytch
3) Pnümix
4) Sma
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
How To Install AIPRM for ChatGPT
In this video, you'll learn how to install AIPRM for ChatGPT, unlocking its full potential. Discover step-by-step instructions and expert tips to enhance your ChatGPT experience. Whether you're a beginner or an advanced user, this guide will help you master the installation process effortlessly. Watch now and take your ChatGPT to the next level!
How To Install AIPRM for ChatGPT
#AIPRM
#ChatGPT

Huawei, kampuni kubwa ya teknolojia kutoka China, imewekeza matrilioni ya pesa kujenga kituo kikubwa cha utafiti na kutengeneza chip mjini Shanghai.
Huawei imechukua eneo kubwa, na kusema italipa wafanyakazi na wataalam wake mara mbili ya rates za sasa kwenye soko la teknolojia duniani. Huawei imesema itakuwa inalipa wataalam wake mara 2 ya malipo ya viwanda vya Marekani, Korea ya Kusini, Taiwan na Ulaya.
Shanghai itakuwa ni Netherland ya dunia kwa kutengeneza mashine maalum ambazo zinatumika kutengeneza chip za kisasa ambazo zinatumika kwenye magari, kompyuta, simu na vifaa mbalimbali. Huawei inafanya hivi ili kuimarisha uwezo wake wa kupata 'chip' baada ya vikwazo kutoka serikali ya Marekani kuifanya vigumu kupata teknolojia hiyo.
Kituo hicho kipya kitaiweka Huawei kuwa kampuni pekee ya tech ambayo inatengeneza mashine za kutengeneza chip na pia inajitengenezea chip zake yenyewe. Apple, Google, na Samsung mpaka leo zinategemea chip za TSMC na Qualcomm ambazo nazo zinategemea mas...
View original post

🆕 Instagram imesema imeweka mfumo mpya wa kiusalama ambao unaficha picha ambazo hazina maadili katika Messages (DM) ili kulinda watoto kutokana na udanganyifu wa kijinsia na unyanyasaji mitandaoni.
Teknolojia yake inaweza kutambua unatuma picha ambayo haina maadili bila kulazimika kuunganisha simu na mtandao (to be online).
Meta imesema haiwezi kuzitazama picha hizo ambazo watu wanatumiana lakini inaweza kuziona endapo kama ripoti hiyo itahitajika! Hivyo kutakuwa na mfumo wa kukusanya ripoti za akaunti ambazo zinapewa warnings kuhusu picha ambazo ni chafu.
Kabla ya mtu hajatuma picha ambayo ni chafu atapewa warning kuwa picha anayotuma sio sawa. Meta imesema lengo la kipengele hiki ni kulinda watoto kutoka kwa wadanganyifu ambao wanaweza kutuma picha za uchi ili kuwalaghai watu mitandaoni.

🕰️ Mwezi wa Aprili mwaka 1973 kwa mara ya kwanza simu ya Motorola DynaTAC 8000X ilitambulishwa rasmi na kuweka historia ya kuwa simu ya kwanza ya mkononi iliyoanza kuingia kwenye soko.
Mwaka 1983 mwezi April ndio ilianza kuuzwa rasmi!
Imepita miaka 51 tangu simu ya kwanza ya mkononi ilipotambulishwa rasmi kwenye teknolojia, na imepita miaka 41 tangu simu ya mkononi ilipoanza kuuzwa rasmi kwa kila mtu kuinunua.

🕰️ Mwezi wa Nne mwaka 1975 - Bill Gates na Paul Allen walianzisha rasmi kampuni ya Microsoft.
Jina "Microsoft" ni mchanganyiko wa maneno "microcomputer" na "software".
Kampuni kubwa iliyoshika soko la mifumo ya kompyuta, apps, games, na kubwa katika kushika soko la Akili Bandia na chip. Ni kampuni kubwa ambayo imeshika top 1 kwa kuwa kampuni kubwa yenye thamani kubwa duniani kabla ya Apple haijaanza kuchukua nafasi hiyo.
Jina "Microsoft" ni mchanganyiko wa maneno "microcomputer" na "software".
Kampuni kubwa iliyoshika soko la mifumo ya kompyuta, apps, games, na kubwa katika kushika soko la Akili Bandia na chip. Ni kampuni kubwa ambayo imeshika top 1 kwa kuwa kampuni kubwa yenye thamani kubwa duniani kabla ya Apple haijaanza kuchukua nafasi hiyo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
The Worst Product I've Ever Reviewed... For Now
The Humane AI pin is... bad. Almost no one should buy it. Yet.
MKBHD Me

All 39 Python Keywords Explained
In today’s video we will be learning about all the 39 keywords that exist in Python (as

#NK|Jinsi ya kutatua matatizo ya computer bila ya kushuhsha windows
#NK|Jinsi ya kutatua matatizo ya computer bila ya ku

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
SDR660 003 Network IC For Xiaomi 6x/Mix2/Max3 Redmi K20/Note7/Note8/Pro Oppo R11

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#xiaomi #network #mobilerepairing #mobile #electronic #soldering #sircuit #stencil

Ndege yako bila leseni - IFAHAMU #JETSON ONE.
Ndege hii ya mtu mmoja itaanza kupatikana mwaka 2026, wateja wameshaanza kufanya malipo.
Itakuwa ni ndege isiyohitaji rubani kupata leseni kama ya ndege zingine, lengo likiwa ni kurahisisha usafiri usio wa mbali kwa njia ya anga. Fahamu mambo kadhaa kuhusu ndege hii ya Jetson One @Jetsonaero

📼 Dagogo ameichambua vizuri sana issue ya upande wa pili wa Akili Bandia
www.youtube.com/watch?v=vQChW_jgMMM
www.youtube.com/watch?v=vQChW_jgMMM
YouTube
AI Deception: How Tech Companies Are Fooling Us
Visit our sponsor https://aura.com/coldfusion to get started on a 2-week free trial and see where your personal information is being sold online.
AI is everywhere. Is it all it's cracked up to be or is it one big scam? Well, as it is for most things, the…

📊 Kampuni ambazo zinaongoza katika mauzo ya simu duniani
🆕 Ripoti mpya za 2024 zinazoonyesha mauzo ya robo ya kwanza ya mwaka Q1 2024 zinaonyesha zaidi ya simu Milioni 289 zimeuzwa duniani na mauzo ya simu yamepanda kwa asilimia 7.8%.
1️⃣ Samsung inashina nafasi ya kwanza kwa kuuza simu Milioni 60.1 ambazo ni sawa na asilimia 20.8% ya simu zote ambazo zimeuzwa duniani.
2️⃣ Apple inashika nafasi ya pili kwa kuuza simu Milioni 50.1 ambazo ni sawa na asilimia 17.3% ya simu zote ambazo zimeuzwa duniani.
3️⃣ Xiaomi inashika nafasi ya tatu kwa kuuza simu Milioni 40.8 ambazo ni sawa na asilimia 14.% ya soko.
4️⃣ Transsion ambayo inamiliki Tecno, itel na Infinix) inashika nafasi ya nne na kuipita Vivo, OnePlus na Oppo. Mwaka huu Transsion imeuza simu Milioni 28.5 ambazo ni sawa na asilimia 9.9% ya soko.
5️⃣ Oppo inashika nafasi ya tano kwa kuuza simu Milioni 25.2 ambazo ni sawa na asilimia 8.7% ya soko zima la simu duniani. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1779837772204794357#m

📊 Ripoti mpya za Kampuni ambazo zinaongoza katika mauzo ya simu duniani
Samsung imerudi katika nafasi yake ya kwanza.
Chanzo: https://www.idc.com/getdoc.jsp?containerId=prUS52032524