Teknolojia
136 subscribers
3.86K photos
5.1K videos
94 files
13.5K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Teknolojia Na Kilimo: Soma Makala Inayo elezea Teknolojia mpya ambazo vikitumika kwa ufanisi zina weza kubadilisha kilimo chetu!

Teknolojia na vifaa kama Drones, sensorer za udongo, na programu za simu zitasaidia wakulima kupata mavuno bora na kujenga uchumi imara.

Kuelewa ni jinsi ghani hasa teknojia hizi zinazoweza kutumika kwenye kilimo kuleta tija tembelea https://teknolojia.co.tz/kilimo-na-tech-teknolojia-mpya-zitakazo-kufanya-ufanye-kilimo-cha-chenye-tija-na-cha-kisasa-zaidi/

#KilimoSmart #TeknolojiaYaKilimo #UkuajiWaUchumi #Tanzania