Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Maujanja na Teknokona: Kujilinda kwenye Instagram ni muhimu! 🔒 Hapa kuna mbinu kadhaa za kufanya akaunti yako kuwa salama zaidi dhidi ya udukuzi.

Njia hizo ni pamoja na kusahisha(Update) Nambari Yako ya Simu na Barua Pepe Zinazohusiana na Akaunti Yako na kuwezesha Uthibitishaji wa Hatua Mbili(two-factor-authentication 2FA) kwenye akaunti yako.

Kujifunza kwa undani zaidi namna ya kujikinda mtandaoni tembelea https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kulinda-akaunti-yako-ya-instagram-dhidi-ya-udukuzihacking/

🔒💪 #maujanjanainstagram
#JikingeNaUdukuzi #TwendeSawa #konayateknolojia