Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

5 Tips To Write Better Python Functions
In this video I’m going to be showing you 5 tips and tricks that can help you wr
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Root Samsung a047f A04S latest security
How to Root Samsung a047f A04S latest security

create root file for all
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Neon Ray Ultra FRP Bypass Google Account Bypass New Method!!
#Safaricom #Neon_ultra #Rayultra_FRP
Remove Google Account
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

All Nokia C10 TA 1342 Android 13 Frp Bypass Unlock Fix Apps Not OpenDisable 2024 New Method!!
All Nokia ANDROID 13 Frp U
🆕 Cover mpya za iPhone 16 zikionyesha mwonekano mpya wa iPhone https://twitter.com/SonnyDickson/status/1773529903775801542#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) Makita LXT Wheelbarrow


2) M18 Compact 1-Ton Chain Hoist w/ O
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT vs ChatGPT Plus: Is it worth the subscription fee?
In this video, we delve into the comparison between ChatGPT and ChatGPT Plus, analyzing whether the subscription fee justifies the upgrade. Dive into the debate as we dissect features, benefits, and limitations of each option, helping you make an informed decision. Don't miss out on this comprehensive breakdown!

ChatGPT vs ChatGPT Plus: Is it worth the subscription fee?

#ChatGPT
#ChatGPTPlus
#SubscriptionFee
🆕 Taarifa mpya zinaonyesha Facebook ilikuwa inaipa nafasi Netflix kutazama DM za watumiaji wa Facebook.

Makubaliano hayo yanaonyesha Facebook iliipa Netflix ruhusu ya kuona DM za watumiaji wa Facebook na pia Netflix ilikubali kuipa Facebook data za watumiaji wa Netflix na interests zao. https://twitter.com/deedydas/status/1774995180980166978#m
Karibu mwezi mpya wa April!

Kwa wapenzi wote wa teknolojia, acha ubunifu utawale na uwe mwanga katika safari yako ya kugundua na kufuatilia teknolojia mpya.

Furahia safari ya kujifunza na kuboresha ujuzi wako katika ulimwengu wa kiteknolojia! 💡🌟
#TechLovers #AprilNewMoon
Telegram Business itakuwa na features zifuatazo:

🔘 Watumiaji wataweza kufungua akaunti za kibiashara
🔘 Profile zitakuwa na customization mfano kuweka links za mitandao, Bio, Bidhaa, n.k
🔘 Profile zitaonyesha muda wa kufungua/kufanya kazi, siku za kazi na location yako.
🔘 Telegram Business zitakuwa na ujumbe wa kuandika kwa wateja wapya kuona wakati wa kuwasiliana na wewe
🔘 Itakuwa na Akili Bandia kusaidia kuandika, kutengeneza picha na kujibu wateja
🔘 Itakuwa na labels na rangi mbalimbali za kutenganisha chats mfano unaweza kuwa na label za order, delivery, payments ili kukusaidia kupangilia chats kuendana na kazi na wajibu uliopo kibiashara
🔘 Itakuwa na Bots - hizi zitasaidia kujibu wateja, kuelekeza wateja na kupunguza uhitaji wa kusimamia na kujibu watu 24/7. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1775170185118306408#m
1
🆕 Telegram Business

Mtandao wa Telegram ambao ni moja kati ya mpinzani mkubwa wa WhatsApp; umeanzisha huduma mpya za Telegram Business.

Huduma hizi zitakuwa ni huduma ambazo zinafanana na WhatsApp Business - kwa malengo ya kuwa sehemu na platform ya kusimamia shughuli za makampuni na biashara mbalimbali.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Neon Ray Ultra Hard Reset Unlock Password
Neon ray ultra hard reset unlock password without pc,
Neon ray ultra hard rese
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Is "finally" Useless In Python?
Today, we're going to be diving into the "finally" keyword. You don't want to know how m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unapendaje ? Utumie Simu na KAVA au bila KAVA
#snashtz #galaxys24plus #galaxyai
Unapendaje ? Utumie Simu na KAVA au bila KAVA
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ile presure yangu ya kuogopa kuangusha S24 Plus yangu sasa imekisha ! Nimepata Silicone case nzuri sana kutoka @samsungtanzania #EpicJustLikeThat #galaxywatch6 #galaxyaiwithadel
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL VEHICLES YOU WILL SEE FOR THE FIRST TIME
Mind Warehouse ►

1) XB-1







2) Ace VTOL Slipstream Elite
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mtumiaji wa PS5 Unatakiwa Kujua hili Mapema kabla hujachelewa
#snashtz #ps5 #dongle
Mtumiaji wa PS5 unatakiwa kujua hili mapema kabla hujachelewa