Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧠 Mgonjwa wa kwanza kufungwa na chip ya ubongo kutoka Neuralink amepona kabisa na anaweza kuongoza mouse ya kompyuta kwa kutumia mawazo yake. Taarifa hii imetolewa na mwanzilishi wa kampuni hiyo, Elon Musk, jioni ya Jumatatu.

"Mafanikio ni mazuri, na mgonjwa anaonekana amepona kabisa, bila madhara yoyote tunayoyafahamu. Mgonjwa anaweza kuhamisha cursor kwenye skrini kwa kufikiria tu," Musk alisema katika tukio la Spaces kwenye jukwaa la kijamii la X.

Kampuni hiyo iliweza kufunga chipu kwa mgonjwa wake wa kwanza mwezi uliopita, baada ya kupata idhini ya kufanya majaribio kwa binadamu mwezi Septemba mwaka jana.

Neuralink inafanya majaribio ya kutengeneza chip maalum ambayo itakuwa inakaa kwenye ubongo. Chip hiyo inaweza kusoma mawimbi maalum ya ubongo na kufahamu unafikiria nini, na kutambua hisia na movements zilizopo akilini mwako; na inaweza kutumia teknolojia hiyo kuweka urahisi kwa mwanadamu kuwa na uwezo wa kuongoza simu, kompyuta na vifaa vya kielektroniki kwa kutumia mawazo tu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NETFLIX Household ni nini ? Una SOLVE vipi?
NETFLIX Household ni nini ? Una SOLVE vipi?
#snashtz #netflix #household #technology
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Geuza MANENO kuwa SAUTI, Best Text to Speech


Je, unatafuta jukwaa lenye nguvu la kugeuza maandishi kuwa sauti kwa Kisw
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Nokia G21 TA 1418 Frp Bypass Android 13 Latest Update Tool 2024
Nokia G21 Ta-1418 FRP Reset Without Recovery /Frp Bypass
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Dunia Mpya na Apple Vision Pro, Ifahamu APPLE VISION PRO
Tutembelee kwenye safari ya kushangaza kupitia macho ya Apple Vision Pro, kifaa kipya cha ukweli halisi kutoka kwa Apple. Jisikie kama unaelea kati ya ulimwengu wa kweli na ulimwengu wa digitali, huku ukitafuta uzoefu mpya na wa kipekee. Tembelea sasa na ujionee mwenyewe jinsi teknolojia inavyokutana na ubunifu katika kifaa hiki cha kipekee!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

WOOD CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) TRIQBRIQ AG






2) FORM AT W
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

BMS Battery 100A ,12V inverter How to upgrade powerful lithium battery
bms battery management system , bms battery charg
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Create a Custom GPT with ChatGPT
Welcome to our latest tutorial on how to create your very own custom GPT (Generative Pre-trained Transformer) using ChatGPT! In this step-by-step guide, we'll walk you through the process of harnessing the power of ChatGPT to tailor-make a language model suited to your specific needs.

Whether you're a developer looking to enhance your chatbot's capabilities or an AI enthusiast eager to explore the world of natural language processing, this video is for you. We'll cover everything from setting up your environment to fine-tuning the model, empowering you to craft a GPT that truly reflects your objectives and preferences.

By the end of this tutorial, you'll have the knowledge and skills to customize GPT with ChatGPT, enabling you to generate tex...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

samsung a05s a057f remove frp in edl mode
samsung a05s a057f remove frp in edl mode
Samsung - Reset FRP, Factory Reset in EDL Mode for:
Samsung Galaxy A05s SM-A057F/DS-BIT1
Samsung Galaxy A23 5G SM-A236U-BIT4
Samsung Galaxy A42 5G SM-A426U-BIT7
Samsung Galaxy A52 A525F-BIT6
Samsung Galaxy A72 A725F-BIT6
Samsung Galaxy A73 5G A736B-BIT5
Samsung Galaxy Z Flip 4 F721B-BIT4
Samsung Galaxy Z Flip 5 F731B-BIT1
Samsung Galaxy Z Fold 3 F926U-BIT3
Samsung Galaxy Z Fold 5 F946B-BIT1
Samsung Galaxy Z Fold 5 F946U-BIT1
Samsung Galaxy S10e G970U-BIT9
Samsung Galaxy S10 G973U-BIT9
Samsung Galaxy S10 Plus G975U-BIT9
Samsung Galaxy S21 FE G990U-BIT8
Samsung Galaxy Note20 Ultra 5G N981U-BIT5
Samsung Galaxy Note 20 Ultra 5G N986U-BIT4
Samsung Galaxy S23 FE S711U-BIT1
Samsung Galaxy S22+ 5G S906E-BIT7
Samsung Galaxy S23 5G S911U-BIT2
Samsung Galaxy S23+ S916U-BIT2
Samsung Galaxy S23 U...
🆕 Apple imetangaza kuweka mfumo mpya ambao unazuia mtu yeyote asiweze kusoma message - na hakuna mfumo ambao utaweza ku-decrypt message hizo hata kwa kutumia kompyuta za quantum. Mfumo huu unaitwa PQ3 - Post-Quantum Level 3.

Kulingana na chapisho la blogi ya Apple, PQ3 inatoa "maboresho makubwa" katika usalama wa kriptografia wa iMessage. Itifaki hii itazinduliwa hatua kwa hatua katika mifumo ya iOS 17.4, iPadOS 17.4, macOS 14.4, na watchOS 10.4 mwezi Machi (mwezi ujao).

Kwa sasa mifumo ya encryption kwenye app za kupiga simu na kuchat zinatumia mfumo wa end-to-end encryption. App za Telegram, WeChat na Skype hazina kabisa mfumo wa encryption. Mfumo wa encryption ni salama kwa miaka ya sasa, lakini kompyuta za quantum zinaweza kuhack code ya encryption kwa dakika chache. Mfumo huu kwa sasa ni salama kwa sababu bado hakuna kompyuta nyingi za quantum.

Signal na PQXDH ni salama zaidi kwa sababu zinatumia mfumo wa PQC Key; huu ni mfumo ambao hata kompyuta ya quantum haiwezi kusoma na ...

View original post
🆕 iMessage inaingia katika mfumo wa PQ3 ambao unatumia PQC Key na Ongoing PQC rekeying. Ni mfumo salama zaidi.

🔘 iMessage na Signal ndio app salama zaidi katika kuzuia mtu asiweze kuona chats na data za watumiaji wake.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SimBanking ya CRDB Kidogo Initoe NISHAI
#snashtz #crdb #simbanking
SimBanking ya CRDB Kidogo Initoe NISHAI
Kampuni ya Readdle imetangaza kipengele cha "My Writing Style" katika app ya barua pepe ya Spark.

Kipengele hiki cha AI huchambua mtindo wa kuandika kutoka kwenye barua pepe za hivi karibuni na kuuweka kwenye barua pepe na majibu yanayotengenezwa na AI. Nakala iliyotengenezwa na AI inaweza kuhaririwa na kukaguliwa kabla ya kutuma, na inaweza kuzimwa ikiwa haipendezi.

Zana hii inapendekezwa kwa waandishi habari, waundaji wa maudhui, watafiti, wanazuoni, na timu za kitaalamu.

Spark inatumia Microsoft Azure OpenAI kama mtoa huduma wa AI, na data haishikiliwi kwa zaidi ya mwezi mmoja.
🆕 Google imetangaza uzinduzi wa kipengele kipya cha "Help me Write" ambacho kinapatikana kwenye Chrome katika kompyuta za Mac na Windows.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make simple inverter, transformer, irf44z mosfet ,‎altium designer
how to make simple inverter, transformer, mosfet ,‎altium designer
how to make simple inverter 1800w,
how to make simple inverter 1800w, sine wave, mosfet, irf44n,
how to make simple inverter 3000w, sine wave,mosfet,transformer,
how to make simple inverter 3000w sine wave mosfet,
how to make simple inverter 4500w,
how to make simple inverter 12v to 220v,
how to make simple inverter at home,
how to make simple inverter without transformer,
how to make simple inverter 12v to 220v irfz44n no ic,
how to make simple inverter 2500w sine wave mosfet jlcpcb,
how to make simple inverter 4200w sine wave 4 mosfet irf3205 jlcpcb,
how to make simple power inverter,
how to make inverter at home simple and easy,
How MOSFETS Work - Unravel the Mysteries of How mosfets Work!,
Get a free trial of Altium Designe...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Spotify imeongeza kipengele cha video fupi "Clips" kwa mtindo maarufu wa TikTok — ambazo zinaweza kuambatanishwa na wasanii au watengeneza maudhui (Podcasts & Audiobooks) na kuweza kuonekana kwa wasikilizaji.

Clips zitaweza kuonekana maeneo mbalimbali ndani ya Spotify ikiwemo homepage, release page, wasifu wa msanii na sehemu nyingine nyingi.

#Spotify #Clips
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Spotify imeongeza kipengele cha video fupi "Clips" kwa mtindo maarufu wa TikTok — ambazo zinaweza kuambatanishwa na wasanii au watengeneza maudhui (Podcasts & Audiobooks) na kuweza kuonekana kwa wasikilizaji.

Clips zitaweza kuonekana maeneo mbalimbali ndani ya Spotify ikiwemo homepage, release page, wasifu wa msanii na sehemu nyingine nyingi.

#Spotify #Clips
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL GADGETS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) BT-20Wingman


2) CozyPod


3) JUMPAC


4) EVOTRAIL


5) LOOI
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Use ChatGPT to Write Code
Welcome to our comprehensive guide on harnessing the power of ChatGPT to streamline your coding process! In this tutorial, we'll walk you through step-by-step instructions on leveraging ChatGPT, a cutting-edge AI language model developed by OpenAI, to enhance your coding experience.

Whether you're a seasoned programmer looking to boost productivity or a coding enthusiast eager to explore new tools, this video is tailored for you. We'll start by introducing the fundamentals of ChatGPT and its capabilities in assisting with code writing tasks. From generating code snippets to offering syntax suggestions, ChatGPT serves as a valuable resource for simplifying complex cod...