Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.69K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hii ni Screen Protector ambayo ni Imara sana ,lakini ni Privacy.Ila ni Screen Protector ambayo ina FIT simu zaidi ya 65. Wasiliana nami kupitia +255 756 445 759 ,nauza kwa bei ya Jumla.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 COOL INVENTIONS FOR A PICKUP TRUCK
Mind Warehouse ►

1) Rack N Roll

2) ROELLI X-RACK

3) S
Meta, kampuni inayomiliki Instagram na Threads, imefanya mabadiliko kwenye sera zake ili kuzuia maudhui ya kisiasa kuonekana kwenye Instagram na Threads.

Adam Mosseri, kiongozi wa Instagram, alisema kuwa lengo lao ni kuhifadhi uwezo wa watu kuchagua kuingiliana na maudhui ya kisiasa, huku wakiheshimu tamaa ya kila mtu kwa hilo. Mabadiliko haya yataanza kutumika katika wiki zijazo. Facebook pia inatarajiwa kuanzisha udhibiti huu mpya katika tarehe isiyojulikana.

Watumiaji wanaotaka bado kupata mapendekezo ya maudhui yanayoweza kuzungumzia serikali, uchaguzi, au mada za kijamii zinazoathiri kundi la watu au jamii kwa ujumla wanaweza kuchagua kuondoa kizuizi hiki ndani ya mipangilio ya akaunti zao.

Mabadiliko haya yatahusu akaunti za umma zinapokuwa zimeanzishwa na katika maeneo ambayo maudhui mbalimbali yanapendekezwa, kama vile Explore, Reels, na Feeds.

Mabadiliko haya yatahusu akaunti za umma na katika maeneo ambayo maudhui mbalimbali yanapendekezwa, kama vile Explore, Reels, na F...

View original post
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INCREDIBLE INVENTIONS FOR FREE ENERGY IN YOUR HOME
Mind Warehouse ►

1) Meridian

+
1.1) Remules

2) ALINTI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT Prompt Engineering for Beginners in 2024! Full Guide
Welcome to our comprehensive guide on ChatGPT Prompt Engineering for Beginners in 2024! If you're new to the world of natural language processing (NLP) or looking to enhance your skills with the latest techniques, you're in the right place.

In this video, we dive into the fundamentals of ChatGPT prompt engineering, breaking down complex concepts into easy-to-understand steps. Whether you're a student, a professional, or just someone curious about NLP, this tutorial will provide you with a solid foundation to start crafting powerful prompts for ChatGPT.

We'll cover everything from understanding prompt formats and structures to optimizing prompts for specific tasks. With practical examples and hands-on exercises, you'll gain the confidence to create effective prompts that yield accurate and insightful responses from Chat...
Tetesi mpya zinaonyesha kampuni ya Apple Inc. ina mpango wa kubadilisha mwonekano wa simu za "iPhone Macho matatu".

Kwa mujibu wa mtoa taarifa Majin Bu; iPhone 16 Pro mpya itakuwa na muundo mpya wa kamera. Apple inajaribu na kufikiria kubadilisha mwonekano wa kamera za iPhone.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

ChatGPT Prompt Engineering for Beginners in 2024! Full Guide
Welcome to our comprehensive guide on ChatGPT Prompt Engineering for Beginners in 2024! If you're new to the world of natural language processing (NLP) or looking to enhance your skills with the latest techniques, you're in the right place.

In this video, we dive into the fundamentals of ChatGPT prompt engineering, breaking down complex concepts into easy-to-understand steps. Whether you're a student, a professional, or just someone curious about NLP, this tutorial will provide you with a solid foundation to start crafting powerful prompts for ChatGPT.

We'll cover everything from understanding prompt formats and structures to optimizing prompts for specific tasks. With practical examples and hands-on exercises, you'll gain the confidence to create effective prompts that yield accurate and insightful responses from Chat...
Mwonekano wa Xiaomi 14 Ultra
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

When the corporates support INVENTORS!
The recent Dassault annual event - 3D Experience World 2024 was an amazing display of what the inventive spirit can create when they get support from the corporates. Cheers Sabin Mathew
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

pcb design electronics projects Make it in a simple way , CZUR ET-24Pro Scanner
Hand-Designed PCB Boards Unveiled! 🔨 Div
Bill Gates amekuwa akiuza sehemu kubwa ya share zake za uwekezaji katika miezi iliyopita. Anatarajia nini? Ananunua nini kwa pesa yote hiyo?
🆕 Kwa mujibu wa tetesi zilizopo, simu ya Xiaomi 14 Ultra itakuwa na kamera ambayo ina sensor kubwa kwenye lens ZOTE. Hivyo itakuwa ni simu ambayo ina sensor kubwa za kamera katika lens zote!

🔘 Xiaomi itaweka sensor ya sensor ya 1/1.33 inchi katika lens zote. Galaxy S24 Ultra inatumia sensor ya 1/1.33 inchi lakini sio katika lens zote.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

TOP 3 Movie Kali 2024. Hizi hapa Filamu BORA Paka sasa
Tazama orodha ya Filamu BORA zaidi za mwaka huu, ikiwa ni pamoja na 'The Beekeeper,' 'The Land of Bad,' na 'Mad Max Saga.' Jipatie burudani ya kipekee na hadithi za kusisimua zinazokamata mawazo!"

#TopMovies #2024Films #TheBeekeeper #TheLandofBad #MadMaxSaga #MovieReviews #Action #Thriller #SciFi #Entertainment
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

FARMING TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Vertical Field

2) MonarchTractor