Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
hivyo watumiaji wake watalazimika ku login Tena na kuweza kubadili password kwa usalama wa data zao japo hawajapata malalamiko yoyote juu ya mtu au watu kuwa wamedukuliwa taarifa zao.

Tembelea tovuti yao kwa taarifa zaidi 👉 https://anydesk.com/en/public-statement
Kampuni ya anydesk inawahitaji watumiaji wake wa anydesk kuweza kubadili password zao ili kuwa salama, mifumo yote ya connection certificate ambayo imeathiliwa imeweza kubadilishwa login code zote za watumiaji wa anydesk.
𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗮𝗻𝘆𝗱𝗲𝘀𝗸 𝘂𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮
Watumiaji wa mtandao (program) ya anydesk wamepewa tahadhari ya kuweza kubadili password baada ya mfumo wao kudukuliwa.

Program hiyo ambayo inatumika sana kwenye taasisi au kampuni mbalimbali kwa ajili ya desktop remote
Kuanzia tarehe 29 januari mpaka tarehe 2 februari 2024 mfumo wao uliweza kudukuliwa na kusababisha shida kwa watu kushindwa kutumia anydesk ndipo walipogundua Seva zao zimedukuliwa na waarifu wa mtandao waliweza kushirikiana na kampuni ya crowdstrike kuweka mambo sawa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to use: "Never" & "NoReturn" in Python (Tutorial)
In Python we have 2 type annotations that are incredibly similar.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SATISFYING VIDEOS OF WORKERS WHO DO THEIR JOB PERFECTLY
Mind Warehouse ►

For copyright matters please contact us at:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Jinsi ya kuandika bila ya kutazama Keyboard |#typing
#NK| Jinsi ya kuandika bila ya kutazama Keyboard |#typing
---
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

OPPO A15 Cph2185 Hard Reset Oppo A15 Unlock New Method 2024
Oppo A15 Hard Reset | How To Factory reset oppo a15 (cph2185
🆕 Soko la tablets limeshuka kwa asilimia 10% katika mwaka 2023 na kuonyesha idadi ya watu ambao wananunua na kumiliki tablets inazidi kushuka.

🔘 Mwaka jana tablets zaidi ya Milioni 135.3 zimeuzwa duniani; Apple bado inaongoza kwa asilimia 40% ya mauzo
Hizi ndio Kampuni zinazoongoza kwa mauzo ya tablets duniani kwa mwaka 2023:
1️⃣ Apple
2️⃣ Samsung
3️⃣ Lenovo
4️⃣ Huawei
5️⃣ Amazon https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754917710054535548#m
🆕 Spotify imetoa ripoti zake mpya za idadi ya wasikilizaji na mapato yake katika kufunga ripoti za mwaka 2023.

🔘 Ripoti mpya zinaonyesha kwa sasa, Spotify ina wasikilizaji zaidi ya Milioni 600 kwa mwezi. Idadi ya wasikilizaji ambao wanalipia ni watumiaji Milioni 236 na inazidi kupanda kwa asilimia 15% mwaka hadi mwaka.

🔘 Kwa upande wa mapato, Spotify imeingiza dola Bilioni 3.97 (Tril 10.1 TZS) na katika kiasi hicho imepata faida ya Euro Milioni 32 (Bil 87.5 TZS); lakini imesema imepata hasara ya Euro Milioni 75 katika gharama kubwa za uendeshaji.

🔘 Spotify inashika nafasi ya kwanza kwa idadi kubwa ya wasikilizaji wa miziki na podcasts, katika soko la Music Streaming duniani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia


Fix iphone iliyo stack haiminyi wala kuzima/how to reboot iphone
🆕 Mwonekano mpya wa simu ya Nothing Phone (2a)

🔘 Mwonekano mpya unaonyesha simu hii haitakuwa na mfumo wa Wireless Charging na LEDs kwenye Glyph interface
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS SPORTING WEAPONS THAT WILL AMAZE YOU
Mind Warehouse ►

1) Classic Army M132 Microgun


2) Airsoft Innova
🆕 Mwonekano mpya wa simu ya Google Pixel 9 Pro

🔘 Google itaweka design ya flat-edges kwenye simu zake, zitakuwa zinafanana na iPhone na Galaxy S24