Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.73K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee

link:-
https://app.heygen.com

katika video hii utajifunza jinsi ya kufanay picha iongee kupitia Ai toold

"Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutumia akili bandia kubadilisha picha iliyosimama kuwa video inayoweza kusema. Angalia jinsi picha zinavyoamka na nguvu ya teknolojia, na ugundue mchakato wa kuvutia wa kutengeneza video yenye harakati kutoka kwenye picha moja. Tumbukia katika ulimwengu wa ubunifu wa AI pamoja nami - ni kama kuleta picha zako kwenye maisha!"
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

In case youโ€™re having a bad day
You'll never be less valued than this...
๐— ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฏ๐Ÿญ ๐—ถ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ

Tarehe 3 12 mwaka 2023 Dunia ilikua inasherekea siku ya sms ๐Ÿ˜ Miaka 31 iliyopita ilikua sio jambo la mchezo mchezo kutuma sms

Mpaka Leo @prossoff anachati na watoto wazuri haikua jambo jepesi
๐Ÿ”” Microsoft itatoa game mpya ya Indiana Jones katika PS5.
๐Ÿ†• Tayari kuna baadhi ya screenshots zinaonyesha Google imeanza kusema Bard itakuwa inaitwa Gemini. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754470361633055057#m
๐Ÿ†• Google Bard itabadilishwa jina na itakuwa Gemini.

๐Ÿ”˜ Google itafanya mabadiliko katika majina ya Akili Bandia zake.
๐Ÿ‘1
๐Ÿšจ Kama unatumia app ya AnyDesk hakikisha ume-update app yako na kufuta vifaa vyote ambavyo umeunganisha kisha unganisha upya!

๐Ÿšจ AnyDesk imepata shambulio la ransomware kwenye mfumo wake wote.

Official Statement:
https://anydesk.com/en/public-statement
๐Ÿ†• Meta imetoa ripoti mpya ya kuonyesha faida, mauzo na idadi ya watumiaji wake katika platform zake.

๐Ÿ”˜ Licha ya kuwa watu wengi wana mtazamo kuwa umaarufu wa Facebook unapungua, ripoti bado zinaonyesha idadi mpya ya watumiaji wa Facebook inaongezeka na bado ni mtandao unaoongoza duniani kwa kuwa na watumiaji wengi sana.

๐Ÿ”˜ Daily Active Users (DAUs) wa Facebook kwa sasa wanafika Bilioni 2.1 - hawa ni watu ambao wanaitumia Facebook kila siku. Idadi ya watumiaji ambao wanatumia FB kwa mwezi inafika wastani wa watumiaji Bilioni 3.

๐Ÿ”˜ Asilimia kubwa ya watumiaji wa Facebook wanatoka Asia Pacific na maeneo mengine nje ya Ulaya, Marekani na Canada.

๐Ÿ”˜ Kwa upande wa mapato, Meta iliingiza dola bilioni 40 kwa robo, ikileta jumla yake kuwa dola bilioni 134 kwa mwaka.

๐Ÿ”˜ Mapato ya matangazo ya Meta katika robo ya nne yalikuwa dola bilioni 38.7, ikiongezeka kutoka dola bilioni 31.2 mwaka mmoja uliopita.
hivyo watumiaji wake watalazimika ku login Tena na kuweza kubadili password kwa usalama wa data zao japo hawajapata malalamiko yoyote juu ya mtu au watu kuwa wamedukuliwa taarifa zao.

Tembelea tovuti yao kwa taarifa zaidi ๐Ÿ‘‰ https://anydesk.com/en/public-statement
Kampuni ya anydesk inawahitaji watumiaji wake wa anydesk kuweza kubadili password zao ili kuwa salama, mifumo yote ya connection certificate ambayo imeathiliwa imeweza kubadilishwa login code zote za watumiaji wa anydesk.
๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฑ๐—ฒ๐˜€๐—ธ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ฑ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ
Watumiaji wa mtandao (program) ya anydesk wamepewa tahadhari ya kuweza kubadili password baada ya mfumo wao kudukuliwa.

Program hiyo ambayo inatumika sana kwenye taasisi au kampuni mbalimbali kwa ajili ya desktop remote
Kuanzia tarehe 29 januari mpaka tarehe 2 februari 2024 mfumo wao uliweza kudukuliwa na kusababisha shida kwa watu kushindwa kutumia anydesk ndipo walipogundua Seva zao zimedukuliwa na waarifu wa mtandao waliweza kushirikiana na kampuni ya crowdstrike kuweka mambo sawa.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to use: "Never" & "NoReturn" in Python (Tutorial)
In Python we have 2 type annotations that are incredibly similar.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

SATISFYING VIDEOS OF WORKERS WHO DO THEIR JOB PERFECTLY
Mind Warehouse โ–บ

For copyright matters please contact us at:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

#NK| Jinsi ya kuandika bila ya kutazama Keyboard |#typing
#NK| Jinsi ya kuandika bila ya kutazama Keyboard |#typing
---
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

OPPO A15 Cph2185 Hard Reset Oppo A15 Unlock New Method 2024
Oppo A15 Hard Reset | How To Factory reset oppo a15 (cph2185
๐Ÿ†• Soko la tablets limeshuka kwa asilimia 10% katika mwaka 2023 na kuonyesha idadi ya watu ambao wananunua na kumiliki tablets inazidi kushuka.

๐Ÿ”˜ Mwaka jana tablets zaidi ya Milioni 135.3 zimeuzwa duniani; Apple bado inaongoza kwa asilimia 40% ya mauzo
Hizi ndio Kampuni zinazoongoza kwa mauzo ya tablets duniani kwa mwaka 2023:
1๏ธโƒฃ Apple
2๏ธโƒฃ Samsung
3๏ธโƒฃ Lenovo
4๏ธโƒฃ Huawei
5๏ธโƒฃ Amazon https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754917710054535548#m