Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Kampuni ya Apple imetangaza kuwa ina zaidi ya vifaa bilioni mbili ambavyo vinatumika kwa sasa duniani. Vifaa hivyo ni pamoja na iPhone, iPads, Macs, na vifaa vyote vya Apple kulingana na ripoti ya mapato ya robo ya kifedha ya kwanza ya mwaka 2024.

Tim Cook, Afisa Mtendaji Mkuu wa Apple, alitangaza furaha yao kwamba idadi ya vifaa vyao vilivyopo sasa imefikia rekodi mpya ya bilioni 2.2, ikifikia kiwango cha juu ya historia ya Apple.

Hii ni ongezeko kutoka vifaa bilioni 2 ilivyokuwa mwezi Januari 2023, hivyo ni sawa na ongezeko la vifaa zaidi ya Milioni 200 kwa mwaka.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya KUTUMIA 15L Silver Crest "AIR FRYER"
#snashtz #silvercrest #airfryer
Jinsi ya KUTUMIA 15L Silver Crest "AIR FRYER"
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Only Real Pros Use THIS In Python #python #programming #coding
Only real pros use this in Python. from typing import NoReturn
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL GADGETS THAT WILL EXCITE YOU
Mind Warehouse ►

1) Konsivy Pro


2) LENSGO Smoke S


3) Napillow


4) RUK
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Apple Vision Pro Review: Tomorrow's Ideas... Today's Tech!
Apple Vision Pro is a glimpse into the future... with today's
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

25 COOL SURVIVAL GADGETS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) Hot Pocket


2) COOZMENT


3) UA-80 Evolution
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Video Insights ChatGPT Plugin tutorial
Unlock the Power of AI in Your Videos with ChatGPT Plugin - A Step-by-Step Tutorial

Welcome to our comprehensive guide on the ChatGPT Plugin for Video Insights! Whether you're a content creator, marketer, or just passionate about video analytics, this tutorial is designed to help you leverage the capabilities of AI to enhance your video content strategy.

🔍 In this tutorial, you'll learn:

How to install the ChatGPT Plugin for Video Insights.
Navigating the interface for maximum efficiency.
Customizing the ChatGPT settings for tailored insights.
Practical tips for analyzing your video data with AI.
Strategies to apply insights for content optimization.

🚀 Why ChatGPT Plugin?

Advanced Analytics: Dive deep into your video performance with AI-powered analytics.

User Engagement: Understand viewer behavior to increase engagemen...
🆕 Mfumo wa Virtual Display ambao upo katika Vision Pro za Apple, utakuwa unaweza kufanya kazi katika Macs ambazo zinatumia chip za Intel.

🔘 Lakini haitazidi 3K Resolution
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make powerful inverter 3500W , sine wave ,mosfet 40n60
Learn how to make a powerful 3500W inverter with a pure si
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee
Jinsi ya kutengeneza Picha inayoongea, Picha kuwa Video. Fanya picha iongee

link:-
https://app.heygen.com

katika video hii utajifunza jinsi ya kufanay picha iongee kupitia Ai toold

"Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutumia akili bandia kubadilisha picha iliyosimama kuwa video inayoweza kusema. Angalia jinsi picha zinavyoamka na nguvu ya teknolojia, na ugundue mchakato wa kuvutia wa kutengeneza video yenye harakati kutoka kwenye picha moja. Tumbukia katika ulimwengu wa ubunifu wa AI pamoja nami - ni kama kuleta picha zako kwenye maisha!"
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

In case you’re having a bad day
You'll never be less valued than this...
𝗠𝗲𝘀𝘀𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘁𝘂𝗺𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗮𝗸𝗮 𝟯𝟭 𝗶𝗹𝗶𝘆𝗼𝗽𝗶𝘁𝗮

Tarehe 3 12 mwaka 2023 Dunia ilikua inasherekea siku ya sms 😁 Miaka 31 iliyopita ilikua sio jambo la mchezo mchezo kutuma sms

Mpaka Leo @prossoff anachati na watoto wazuri haikua jambo jepesi
🔔 Microsoft itatoa game mpya ya Indiana Jones katika PS5.
🆕 Tayari kuna baadhi ya screenshots zinaonyesha Google imeanza kusema Bard itakuwa inaitwa Gemini. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1754470361633055057#m