Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Webpilot ChatGPT Plugin tutorial
๐Ÿš€ Expand your website's capabilities with the innovative Webpilot ChatGPT Plugin! In this comprehensive tutorial, we'll guide you through every step of integrating ChatGPT into your website, enhancing user interaction and automating responses like never before.

๐Ÿ” What You'll Learn:

How to seamlessly install the Webpilot ChatGPT Plugin
Customizing ChatGPT settings for optimal performance
Strategies for leveraging ChatGPT to engage your audience

๐Ÿ”‘ Key Features Explored:

Real-time chat automation
Personalized user experience with AI
Easy management and maintenance tips

๐Ÿ› ๏ธ Installation & Setup:

Detailed walkthrough from download to live implementation
Troubleshooting common setup challenges
Best practices for security and privacy settings

๐Ÿ’ก Optimization Tips:

Enhancing ChatGPT's AI responses for your niche
Monitoring and ana...
Mwonekano wa emoji mpya katika mifumo ya Android
๐Ÿ†• Arch Search ni search engine mpya ambayo inatumia Akili Bandia, Browser na Search Engine kwa pamoja.

๐Ÿ”˜ Haya ni matokeo ya Akili Bandia (ChatGPT, Bard, n.k) zinaendelea kupata watumiaji wengi ambao wanaona uvivu wa kutumia Search Engine kama vile Google, Bing n.k.

https://x.com/joshm/status/1751734580124787028?s=20
๐Ÿ†• Hizi ni emoji mpya ambazo zitatoka mwaka huu.
๐Ÿ†• Emoji mpya za mwaka huu zitatoka rasmi, hizi ni emoji mpya ambazo zimeongezeka katika mifumo ya simu, kompyuta, apps, websites, na vifaa ambavyo vinaweza kuonyesha emoji.

๐—ข๐—ฟ๐—ผ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฒ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ถ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ถ:
๐Ÿ”˜ Kipande cha Limao
๐Ÿ”˜ Kutingisha kichwa (juu - chini)
๐Ÿ”˜ Kutingisha kichwa (kushoto - kulia)
๐Ÿ”˜ Ndege aina ya Phoenix
๐Ÿ”˜ Uyoga wa kahawia
๐Ÿ”˜ Cheni iliyokatika
๐Ÿ†• Instagram imeanza kuweka matangazo mengi kwenye tovuti yake (Instagram Web)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Miniature Steam Engine Assembly & RUN!
In this video, we showcase the step-by-step process of assembling and running a miniature Steam engine. We take you through the intricate proce...
WhatsApp sasa inawezesha Channels kuwa na udhibiti wa faragha zaidi.

Watumiaji waliojiunga na WhatsApp Channels taarifa zao zinaweza kutoonekana kwa wasimamizi wa channel husika.

#WhatsApp
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kaplan Turbines | Understanding the Giants of Hydroelectric Power Production
I hope you enjoyed the interesting engineer
๐Ÿ†• Elon ameeleza kwamba mtu wa kwanza amepokea kiunganishi cha ubongo na kompyuta cha Neuralink.

๐Ÿ”˜ Kifaa hicho kidogo kinaunganisha ubongo na kompyuta na kuwezesha mtu kuongoza kompyuta kwa kutumia ubongo wake (kwa kuwaza). https://twitter.com/elonmusk/status/1752098683024220632#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

20 BRILLIANT TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse โ–บ

1) DrillEase




2) Cleaning Purdyยฎ



3) MLT System
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Apple Vision Pro Unboxing!
Unboxing and hands-on with Apple Vision Pro!

Charge your devices with Ankerโ€™s new MagGo line