Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hard Reset Oppo A37 BEST TESTED 100%
oppo a37 hard reset,oppo a37f hard reset,hard reset,oppo a37fw hard reset,

For Dow
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Webpilot ChatGPT Plugin tutorial
🚀 Expand your website's capabilities with the innovative Webpilot ChatGPT Plugin! In this comprehensive tutorial, we'll guide you through every step of integrating ChatGPT into your website, enhancing user interaction and automating responses like never before.

🔍 What You'll Learn:

How to seamlessly install the Webpilot ChatGPT Plugin
Customizing ChatGPT settings for optimal performance
Strategies for leveraging ChatGPT to engage your audience

🔑 Key Features Explored:

Real-time chat automation
Personalized user experience with AI
Easy management and maintenance tips

🛠️ Installation & Setup:

Detailed walkthrough from download to live implementation
Troubleshooting common setup challenges
Best practices for security and privacy settings

💡 Optimization Tips:

Enhancing ChatGPT's AI responses for your niche
Monitoring and ana...
Mwonekano wa emoji mpya katika mifumo ya Android
🆕 Arch Search ni search engine mpya ambayo inatumia Akili Bandia, Browser na Search Engine kwa pamoja.

🔘 Haya ni matokeo ya Akili Bandia (ChatGPT, Bard, n.k) zinaendelea kupata watumiaji wengi ambao wanaona uvivu wa kutumia Search Engine kama vile Google, Bing n.k.

https://x.com/joshm/status/1751734580124787028?s=20
🆕 Hizi ni emoji mpya ambazo zitatoka mwaka huu.
🆕 Emoji mpya za mwaka huu zitatoka rasmi, hizi ni emoji mpya ambazo zimeongezeka katika mifumo ya simu, kompyuta, apps, websites, na vifaa ambavyo vinaweza kuonyesha emoji.

𝗢𝗿𝗼𝗱𝗵𝗮 𝘆𝗮 𝗲𝗺𝗼𝗷𝗶 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗻𝗶:
🔘 Kipande cha Limao
🔘 Kutingisha kichwa (juu - chini)
🔘 Kutingisha kichwa (kushoto - kulia)
🔘 Ndege aina ya Phoenix
🔘 Uyoga wa kahawia
🔘 Cheni iliyokatika
🆕 Instagram imeanza kuweka matangazo mengi kwenye tovuti yake (Instagram Web)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Miniature Steam Engine Assembly & RUN!
In this video, we showcase the step-by-step process of assembling and running a miniature Steam engine. We take you through the intricate proce...
WhatsApp sasa inawezesha Channels kuwa na udhibiti wa faragha zaidi.

Watumiaji waliojiunga na WhatsApp Channels taarifa zao zinaweza kutoonekana kwa wasimamizi wa channel husika.

#WhatsApp
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kaplan Turbines | Understanding the Giants of Hydroelectric Power Production
I hope you enjoyed the interesting engineer
🆕 Elon ameeleza kwamba mtu wa kwanza amepokea kiunganishi cha ubongo na kompyuta cha Neuralink.

🔘 Kifaa hicho kidogo kinaunganisha ubongo na kompyuta na kuwezesha mtu kuongoza kompyuta kwa kutumia ubongo wake (kwa kuwaza). https://twitter.com/elonmusk/status/1752098683024220632#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 BRILLIANT TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) DrillEase




2) Cleaning Purdy®



3) MLT System
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Apple Vision Pro Unboxing!
Unboxing and hands-on with Apple Vision Pro!

Charge your devices with Anker’s new MagGo line