Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Single phase 220V electric meter From Temu I bought it 3,48€ How is This POSSIBLE?
Download the Temu app via the link:
U

🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka mfumo ambao unafanana na AirDrop na Quick Share.
🔘 Watumiaji wa WhatApp watakuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa mtumiaji mwingine ambaye anatumia WhatsApp.
🔘 Utaweza kutuma picha bila kulazimika kuhifadhi namba yake na inaoenakana watumiaji watakuwa wanatingisha simu (shake) ili kuwasha uwezo huu. Pia ukituma file utatakiwa kusogeza simu yako karibu na simu ya mtu mwingine ambaye unamtumia.
🔘 Pia mfumo wa kutuma bado utakuwa unatumia mfumo wa end-to-end encryption hivyo hakuna mtu wa karibu ambaye ataweza kuona file ambalo unatuma.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Welcome Akiba Properties
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Tecno Pop 7 Pro Hard Reset Tacno BF7h PinPattern Lock Remove With Pc
How to reset Tecno Pop 7 Pro - Factory reset and er

‘View-Once’ Imefika Katika Mtandao Wa Telegram Kwenye Jumbe Za Sauti Na Video!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph

Hapo awali mara kwa mara tulikua tukiona vipengele vingi katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp vilikua vinatumika toka zamani katika mtandao wa kijamii wa Telegram.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
15 INGENIOUS INVENTIONS FOR WINTER CAMPING
Mind Warehouse ►
1) Wilcraft
2) Yetti Fish House
3) Dipstick
4

WhatsApp Inaandaa Kipengele Cha Ku’Share Vitu Mithili Ya Airdrop Au Quick Share!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
WhatsApp Inaandaa Kipengele Cha Ku’Share Vitu Mithili Ya Airdrop Au Quick Share!
Kipengele hiki hakitategemea sana kwa watumiaji kuwa na namba ya WhatsApp ya mtu ambae anamtumijia vitu hivyo. Kipengele hiki kitakua kinafanya kazi baada ya simu hizo kusogeleana kwa ukaribu zaidi na kitafanya kazi kwa kutingisha (shake) simu hizo. Ndio…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
What is Auto-GPT? Explained
🔍 Dive into the world of AI with our comprehensive guide to Auto-GPT! 🤖
Auto-GPT is revolutionizing the way we interact with artificial intelligence, and this video is your key to understanding how it works. Whether you're a tech enthusiast, a professional looking to streamline your workflow, or simply curious about the future of AI, this video has something for everyone.
The basics of Auto-GPT and its place in the AI landscape.
How Auto-GPT differs from other AI models and its unique features.
Real-world applications of Auto-GPT that are changing industries.
Subscribe to our channel for more insights into AI and stay ahead of the tech curve. Hit the bell icon to get notified about our latest uploads!
#AutoGPT #ArtificialIntelligence #MachineLearning #TechExplained #AIRevolution #FutureTech #Innovation #AITrends

🔘 Apple imeweka sehemu mpya ya Stolen Device Protection: sehemu hii itazuia mwizi asiweze kubadili Apple ID hata endapo kama akifanikiwa kufahamu Passcode yako. Mwizi atalazimika kuwa na Face ID au Touch ID yako na Passcode kwa pamoja. Pia mtu hataweza kubadili Apple ID mpaka lisaa liishe baada ya kuomba kuibadili.