🆕 Mfumo wa Android umeanza kutoa mabadiliko mapya ya mwonekano wa Material You 3. Watumiaji wa Android wataanza kuona mabadiliko ya mwonekano wa sehemu hizi.
🔘 Progress Bar ambayo inatumika kuonyesha progress ya kuhamisha file, ku-download au kuonyesha kuna kazi inaendelea na kuonyesha imebaki muda gani wa kukamilika - imebadilika mwonekano wake.
🔘 Pia Slider ambayo inatumika kuongeza brightness, sauti au kwa kazi mbalimbali imebadilika na itakuwa na umbo jipya na muundo mpya.
🔘 Slider na Progress bar zitakuwa zinabadilika rangi kuendana na rangi ya Material You UI.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
LIFT 2024 Movie Review (in Swahili)
#snashtz #netflix #lift
LIFT 2024 Movie Review (in Swahili)
LIFT 2024 Movie Review (in Swahili)
#snashtz #netflix #lift
LIFT 2024 Movie Review (in Swahili)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
GALAXY AI Features "Baadhi ya vitu vya GALAXY AI"
#snashtz #samsung #galaxys24ultra

Single phase 220V electric meter From Temu I bought it 3,48€ How is This POSSIBLE?
Download the Temu app via the link:
U

🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka mfumo ambao unafanana na AirDrop na Quick Share.
🔘 Watumiaji wa WhatApp watakuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa mtumiaji mwingine ambaye anatumia WhatsApp.
🔘 Utaweza kutuma picha bila kulazimika kuhifadhi namba yake na inaoenakana watumiaji watakuwa wanatingisha simu (shake) ili kuwasha uwezo huu. Pia ukituma file utatakiwa kusogeza simu yako karibu na simu ya mtu mwingine ambaye unamtumia.
🔘 Pia mfumo wa kutuma bado utakuwa unatumia mfumo wa end-to-end encryption hivyo hakuna mtu wa karibu ambaye ataweza kuona file ambalo unatuma.
🔘 Watumiaji wa WhatApp watakuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa mtumiaji mwingine ambaye anatumia WhatsApp.
🔘 Utaweza kutuma picha bila kulazimika kuhifadhi namba yake na inaoenakana watumiaji watakuwa wanatingisha simu (shake) ili kuwasha uwezo huu. Pia ukituma file utatakiwa kusogeza simu yako karibu na simu ya mtu mwingine ambaye unamtumia.
🔘 Pia mfumo wa kutuma bado utakuwa unatumia mfumo wa end-to-end encryption hivyo hakuna mtu wa karibu ambaye ataweza kuona file ambalo unatuma.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Welcome Akiba Properties
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Tecno Pop 7 Pro Hard Reset Tacno BF7h PinPattern Lock Remove With Pc
How to reset Tecno Pop 7 Pro - Factory reset and er