This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI Photo Editor
Simu za Galaxy S24 series zina uwezo mkubwa wa ku-edit picha. Sasa hivi zinafanana na simu za Google Pixels. Mfano unaweza kuhamisha na kufuta vitu au watu kwenye picha.

Pro Visual Engine:
Samsung imeweka akili bandia katika mfumo wa kamera. Hii itasaidia kuboresha resolutions za picha, kurekebisha matatizo kama vile mwanga na kuongeza ubora wa picha.

Kutengeneza Summary:
Watumiaji wa simu mpya za Samsung wataweza kutumia AI kupangilia notes na documents. Mfano unaweza kupangilia notes zako kuwa documents ambazo zimejipanga vizuri.

Live Translate:
Simu mpya za Samsung zina uwezo wa kutafsiri lugha zaidi ya 60 in real-time. Yaani inatafsiri sauti hapo hapo wakati unaongea na mtu na inakusaidia kufanya mazungumzo na mtu ambaye hafahamu lugha yako.

Instant Slow-Mo
Samsung imeweka uwezo wa kupunguza speed ya video kwa ku-tap kioo na ku-hold kwa sekunde chache. Mfano ukiwa unacheck video utaweza kuitazama katika slow motion hata kama hiyo video haina slow motion.

Circle to Search:
Samsung na Google zimetambulisha njia mpya ya kutafuta vitu ambavyo unaona kwenye screen yako. Ni njia rahisi ya kutafuta vitu ambavyo unaviona kwenye picha, video, posts au documents.

γ½οΈ Teknolojia
Galaxy S24/Ultra First Impressions ( inSwahili )
#samsung #galaxys24ultra #snashtz

π Mark Zuckerberg anajitahidi kuunda akili bandia ya ujumla (AGI)
π Meta inahamisha kikundi chake cha utafiti wa AI, FAIR, kwenye sehemu ileile ya kampuni kama timu inayojenga bidhaa za AI, sasa inaweka focus katika βArtificial GENERAL Intelligenceβ
π Meta imekusanya idadi kubwa ya nguvu za kompyuta, ikiwa ni pamoja na zaidi ya GPU 340,000 za Nvidia H100 mwishoni mwa 2021 na akiba ya karibu GPU 600,000 mwishoni mwa 2024
π Artificial GENERAL Intelligence: ni Akili Bandia ya pamoja ambayo imeundwa na akili bandia mbalimbali ambazo ni kubwa na zinajitegemea. Ni kama Ulimwengu wa Akili Bandia!
π Itakuwa ni open-source!
π Meta inahamisha kikundi chake cha utafiti wa AI, FAIR, kwenye sehemu ileile ya kampuni kama timu inayojenga bidhaa za AI, sasa inaweka focus katika βArtificial GENERAL Intelligenceβ
π Meta imekusanya idadi kubwa ya nguvu za kompyuta, ikiwa ni pamoja na zaidi ya GPU 340,000 za Nvidia H100 mwishoni mwa 2021 na akiba ya karibu GPU 600,000 mwishoni mwa 2024
π Artificial GENERAL Intelligence: ni Akili Bandia ya pamoja ambayo imeundwa na akili bandia mbalimbali ambazo ni kubwa na zinajitegemea. Ni kama Ulimwengu wa Akili Bandia!
π Itakuwa ni open-source!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Custom instructions for ChatGPT
π Unlock the full potential of ChatGPT with our step-by-step guide on crafting custom instructions! π
π¨βπ» Are you looking to tailor ChatGPT to your specific needs? Look no further! In this video, we dive deep into the world of ChatGPT and show you how to create custom instructions that can transform your interaction with this powerful AI.
π What you'll learn:
The basics of ChatGPT and its capabilities.
How to design custom prompts to get the best responses.
Tips and tricks for refining your instructions to achieve precise outcomes.
Real-world examples of customized ChatGPT interactions.
π Whether you're a developer, a content creator, or just an AI enthusiast, these insights will help you leverage ChatGPT's advanced features for your projects and workflows.
β Subscribe to our channel for more tutorials, tips, and tech insights.
π Hit the bell icon to stay updated on our latest uploads.
π¬ Share your experiences with customizi...