Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

BEST Practises For SIMPLE Benchmarking In Python
In this video I'll be sharing with you some of the best practises when
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Shenhao Digital Safety Supervisor

2)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Pop 7 Pro Hard Reset Tacno BF7h PinPattern Lock Remove With Pc
tecno pop 7 pro hard reset,tecno pop 7 pro frp bypa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Pop 7 Frp Bypass Android 12 With Pc Tecno BF7 Frp Tecno Pop 7 Google Account Bypass
tecno pop 7 frp bypass android
⬇️ 🧵 Hizi ni features kubwa ambazo zimewekwa katika simu mpya za Samsung
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI Photo Editor
Simu za Galaxy S24 series zina uwezo mkubwa wa ku-edit picha. Sasa hivi zinafanana na simu za Google Pixels. Mfano unaweza kuhamisha na kufuta vitu au watu kwenye picha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Pro Visual Engine:
Samsung imeweka akili bandia katika mfumo wa kamera. Hii itasaidia kuboresha resolutions za picha, kurekebisha matatizo kama vile mwanga na kuongeza ubora wa picha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kutengeneza Summary:
Watumiaji wa simu mpya za Samsung wataweza kutumia AI kupangilia notes na documents. Mfano unaweza kupangilia notes zako kuwa documents ambazo zimejipanga vizuri.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Live Translate:
Simu mpya za Samsung zina uwezo wa kutafsiri lugha zaidi ya 60 in real-time. Yaani inatafsiri sauti hapo hapo wakati unaongea na mtu na inakusaidia kufanya mazungumzo na mtu ambaye hafahamu lugha yako.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Instant Slow-Mo
Samsung imeweka uwezo wa kupunguza speed ya video kwa ku-tap kioo na ku-hold kwa sekunde chache. Mfano ukiwa unacheck video utaweza kuitazama katika slow motion hata kama hiyo video haina slow motion.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Circle to Search:
Samsung na Google zimetambulisha njia mpya ya kutafuta vitu ambavyo unaona kwenye screen yako. Ni njia rahisi ya kutafuta vitu ambavyo unaviona kwenye picha, video, posts au documents.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Galaxy S24/Ultra First Impressions ( inSwahili )
#samsung #galaxys24ultra #snashtz
Galaxy S24/Ultra First Impressions ( inSwahili )
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

On "Quitting" YouTube
Gotta find your hearts