Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• Apple inajipanga mwaka huu iweka juhudi kuhakikisha inabadilisha mfumo wa Siri na kuweka uwezo mkubwa wa Akili Bandia.

๐Ÿ”˜ Apple bado ipo nyuma katika kuunganisha mfumo wa Akili Bandia katika mfumo wa Siri. Sasa hivi ushindani umekuwa mkubwa mfano ChatGPT inaweza kutumika kama Siri na ukafanya nayo mazungumzo na ikajibu maswali magumu.

๐Ÿ”˜ Mwaka huu Apple inataka kutambulisha mfumo mpya wa Siri 2.0 katika WWDC mwezi wa 6 mwaka huu.

๐Ÿ”˜ Tetesi zinaonyesha Siri itakuwa na mfumo mkubwa wa Akili Bandia kama ChatGPT, Bard, Galaxy AI, Bing na Copilot.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

ROG Phone 8 Review: We're Going Mainstream!
The flagship gaming phone has made some key changes this year for a high pri
โ€ผ๏ธ Kuna tetesi zinaonyesha kuwa Apple itazima mfumo wa kupima Oxygen katika Apple Watch 9 na Apple Watch Ultra 2 ili kukwepa ban!

๐Ÿ”˜ Kesi yake na kampuni ya Masimo inaonyesha kampuni ya Masimo inaweza kushinda kesi.
๐Ÿ†• TikTok inaanzisha sehemu mpya ya "Agency Official Account"

๐Ÿ”˜ Hii ni sehemu ya akaunti ambazo ni akaunti za biashara zilizoundwa na kutumiwa na wakala kwa ajili ya kutafuta wabunifu mtandaoni.
Simu ya Samsung Galaxy A35 imeonekana kwenye Geekbench ikiwa na chip ya Exynos 1380
๐Ÿ†• Google ina mpango wa kuboresha sehemu ya Side-Panel ya Chrome
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

20 COOL TOOLS YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse โ–บ

1) Laguna PiBurn


2) Gude RFP Garden Machine



3) TUBELESS
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿ†• YouTube imeweka njia rahisi ya kubadilisha video zako kuwa Shorts.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to Unlock FRP on TECNO Pop 7 Bypass Google Account Verification Remove FRP
#google #frp #googleplay #tecnopop 7
Tecn
๐Ÿ”ฅ ZTE Nubia Red Magic 6s Pro
#Chuma
๐Ÿ†• Katika ripoti mpya, kampuni ya Transsion ( ambayo inazimiliki Tecno, itel, Infinix, Oraimo, Scooper, Syinix na Carlcare) imeitoa kampuni ya Vivo katika Top 5 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1747309574497894764#m