Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Njia MPYA ya uhakika kuingiza pesa mtandaoni 2024, Bila MTAJI kwa simu yako
karibu Maujanja Zone, ulimwengu wa teknoloji
πŸ†• Google Pixel zitakuwa na sehemu ya kuchagua Search Engine ambayo unataka iwe inatumika kwenye web na home screen

πŸ”˜ Mabadiliko haya yameanza katika mfumo wa Android 14 QPR2 Beta 3
Sifa mpya za Samsung Galaxy S23 Ultra

✨ Generative AI - Pixel tayari ina uwezo huu

πŸ”­ 5x telephoto - iPhone tayari inayo

πŸ”† 2600 nits - Oppo ipo kwenye 4600 nits

πŸ“± Flat display - iPhone na Google Pixel tayari zinatumia style hii

πŸͺ¨ Titanium frames - tayari ipo kwenye iPhone
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
⚑️ Mercedes zikionyesha uwezo wake wa 360-turn katika gari mpya ya G Wagon ya umeme
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ†• YouTube itazidi kuweka ugumu kwa watumiaji ambao wanatumia AdBlocks

πŸ”˜ YouTube itakuwa inafunguka taratibu sana na kuzidi kuweka ugumu kwa watu ambao wanazuia matangazo kwa kutumia AdBlocks
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

25 GADGETS THAT ARE AT ANOTHER LEVEL
Mind Warehouse β–Ί

1) The Minimal Tag


2) Mishatu Voyager Smart Suitcase


3)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Create amazing electronic projects , Top 4 simple oscilloscope projects
Do you want to learn how to make a mini oscillos
πŸ†• Mwezi huu Instagram imeanza kubadilisha mwonekano wa fonts (herufi na maneno) katika app yake.

Mwaka jana Instagram ilisema kuwa itabadilisha Fonts zake zitakuwa β€œInstagram Sans”. Hizi ni fonts maalum za Instagram na utagundua tangu app ya Thread ilipoanza ilikuwa inatumia style hii ya fonts na mfano @ inatumia style ya logo ya Threads.
πŸ†• Apple inajipanga mwaka huu iweka juhudi kuhakikisha inabadilisha mfumo wa Siri na kuweka uwezo mkubwa wa Akili Bandia.

πŸ”˜ Apple bado ipo nyuma katika kuunganisha mfumo wa Akili Bandia katika mfumo wa Siri. Sasa hivi ushindani umekuwa mkubwa mfano ChatGPT inaweza kutumika kama Siri na ukafanya nayo mazungumzo na ikajibu maswali magumu.

πŸ”˜ Mwaka huu Apple inataka kutambulisha mfumo mpya wa Siri 2.0 katika WWDC mwezi wa 6 mwaka huu.

πŸ”˜ Tetesi zinaonyesha Siri itakuwa na mfumo mkubwa wa Akili Bandia kama ChatGPT, Bard, Galaxy AI, Bing na Copilot.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

ROG Phone 8 Review: We're Going Mainstream!
The flagship gaming phone has made some key changes this year for a high pri
‼️ Kuna tetesi zinaonyesha kuwa Apple itazima mfumo wa kupima Oxygen katika Apple Watch 9 na Apple Watch Ultra 2 ili kukwepa ban!

πŸ”˜ Kesi yake na kampuni ya Masimo inaonyesha kampuni ya Masimo inaweza kushinda kesi.
πŸ†• TikTok inaanzisha sehemu mpya ya "Agency Official Account"

πŸ”˜ Hii ni sehemu ya akaunti ambazo ni akaunti za biashara zilizoundwa na kutumiwa na wakala kwa ajili ya kutafuta wabunifu mtandaoni.
Simu ya Samsung Galaxy A35 imeonekana kwenye Geekbench ikiwa na chip ya Exynos 1380