Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
channels4_profile.jpg
5.1 KB
New subscription on YouTube: CEE MUSIC WORLD
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Create Your Own Discord Bot in Python 3.12 Tutorial (2024 Edition)
Today we will be learning how we can create a Discord
🆕 Volkswagen itaweka ChatGPT kwenye magari yake
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Best Smartphone Camera: 2024!
The updated SCIENTIFIC best smartphone camera on earth!

MKBHD Merch:

Tech I'm usin
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Sababu Ya battery Health Kushuka Haraka Na Zingine Kutoshuka #Simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako
🆕 Sony imeonyesha headset mpya ya Spatial VR ambayo unaweza kuiongoza kwa kutumia pete maalum
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Always Do THIS In Python, It’s A LIFESAVER #programming #python #code
Always do this in Python, it's a lifesaver. #programming #python #code
🆕 Unity imetangaza kupunguza 25%, ya wafanyakazi wake ambao ni takribani 1,800
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 COOL ALL-TERRAIN VEHICLES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Hydratrek





2) FALCON



3)
🆕 Picha za iPhone ambayo ilianguka futi 16,000 na kuendelea kufanya kazi https://twitter.com/SeanSafyre/status/1744138937239822685#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kampuni ya LG imetambulisha rasmi wireless transparent Tv ya kwanza katika CES 2024. TV hii imepewa jina la Signature OLED T.

TV hii ni transparent hivyo ukiizima inakuwa ni kioo ambacho nyuma yake unaweza kuona ukuta nyuma ya TV. Ina ubora wa 4K, ukubwa wa inch 77, transparent, na unaweza kutazama video za 4K wireless bila kuchomeka waya.

Bei yake haijatajwa, lakini ni TV ambayo imeshangaza wengi.

Inaweza kutumika kama urembo endapo kama hautazami chochote kwenye TV. Inaweza kuonyesha Samaki wanatembea, picha au animations ambazo zinapendezesha nyumba.
🆕 Ni kweli kuwa Google inabadilisha branding ya “Nearby Share” kuwa “Quick Share”

🔘 Ni vizuri kuona Google na Samsung zimekubali kuwa na branding moja

🔘 Google imekubali kuachana na brand yake ya “Nearby Share” na kuwa sawa na “Quick Share” ya Samsung
🆕 WhatsApp imeongeza kipengele kipya cha “App Updates Settings” katika mfumo wake wa majaribio (WhatsApp Beta)

🔘 Sehemu hii itasaidia kuruhusu WhatsApp iwe inaji-update yenyewe kwa urahisi
iPhone zimetimiza miaka 17 tangu zilipotambulishwa January 9, 2007