Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Join My Python Discord Server In 2024!
Here's the link to join the server:
Hope to see you all there!

Become job-rea
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ifahamu Gari ya Elon musk na Maajabu yake - CYBERTRUCK
ifahamu vizuri gari ya Elon musk, gari kutoka kampuni ya Tesla na maajabu yake

gari hii inafahamika kama CYBERTRUCK
Maswali ya kuthibitisha kuwa wewe sio "Robot" yamezidi kuwa magumu na yanatumia muda mwingi kukamilika
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make Particle Accelerator Electromagnetic Ring Accelerator
In this video I make a new version of my ring accelera
🤣 Tuache hii tabia!
Microsoft inabadilisha keyboard ya kompyuta za Windows - kwa kuifuta logo ya Windows na kuweka logo ya Copilot.

Button ya Windows Key itaitwa “Copilot Key” na itakuwa ni shortcut ya kufungua akili bandia ya Copilot ambayo imejengwa ndani ya mfumo wa Windows. Akili Bandia hiyo itasaidia kupangilia windows, files documents; pia inatumika kutafuta vitu kwenye kompyuta yako, kuandika emails au documents, kuuliza maswali mbalimbali, mahesabu na kusaidia kazi mbalimbali.

Microsoft inaonekana ipo serious katika kukuza AI na kuiweka kwenye mfumo wa Windows. Kompyuta za Windows zitakuwa na akili bandia sana; pia idea ya kuweka key maalum kwenye keyboard ni nzuri. Itakuwa ni shortcut lakini pia ni mkakati wa kuwazoesha watumiaji kutumia Akili Bandia kwenye kompyuta.

Kwa upande wa pili bado maswali mengi yapo katika usalama. Kwa sababu Akili Bandia hii itakuwa na access ya picha zako, files zako, documents zako, emails zako, calendar n.k. Itakuwa inaweza kukufahamu sana!

Bado haijafahami...

View original post
1
Hii ni njia nzuri ya kukuza soko la Copilot na kuwazoesha watumiaji wa Windows kutumia sana Akili Bandia kwenye kompyuta https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1743317209999384580#m
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make Particle Accelerator Electromagnetic Ring Accelerator
In this video I make a new version of my ring accelera
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Is Immutability A Lie In Python?
Is immutability a lie in Python? If we can change tuples and strings, can they really b
📱 Lockscreen ya OnePlus
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INGENIOUS INVENTIONS THAT ARE WORTHY OF YOUR ATTENTION
Mind Warehouse ►

1) Roadrunner


2) Mecha-morphis


3)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🚁 Imagine teknolojia hii inatumia katika kutua kwa drones na helikopta
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Use Canva Plugin in ChatGPT
Unlock the power of visual design within your AI conversations with our latest tutorial on "How to Use Canva Plugin in ChatGPT"! 🎨

Whether you're a content creator, marketer, or just love to enhance your ChatGPT interactions with stunning visuals, this video is your step-by-step guide to integrating Canva's robust design capabilities directly into ChatGPT.

In this video, you'll learn:

The basics of Canva and its powerful features.
How to install and activate the Canva Plugin in ChatGPT.
Tips and tricks for creating eye-catching designs effortlessly.
Ways to streamline your workflow by using Canva within ChatGPT.

Don't forget to hit the like button if you find this tutorial helpful and subscribe for more insightful content on leveraging AI tools to their fullest potential. Drop a comment below to share your experience with the...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Create amazing electronic projects use PCB , Top 8 simple electronic projects , JLCPCB
Top 8 simple electronic projects , Create amazing electronic projects
I will teach you step by step how to make a radio to receive international radio stations, with simple electronic components, it can be an electronic project or a university graduation project, this radio does not need much energy as it works on a 1.5 volt battery only. In the video, I will provide you with the circuit diagram, as well as the value and symbol of all the electronic components used.
am radio receiver, how am radio receiver works, how to make am radio receiver at home, how to make am radio receiver, am radio receiv...
Tupate inspiration 🖥️