Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Mwonekano mpya wa Honor Magic6 Pro
🆕 Poster za Galaxy S24 Ultra zimeanza kuonekana katika maduka ya Samsung nchini Brazil.

🔘 Samsung itaweka Galaxy AI katika simu ya Galaxy S24 Ultra. Itakuwa ni simu ambayo ina uwezo mkubwa sana katika kazi za Akili Bandia
Bitcoin 1 imefikia thamani ya Milioni 113.4 TZS (45,000$)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🔘 Pia imeweka effect mpya ya Thanos Snap Effect ukiwa unafuta message
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Telegram imebadili mwonekano wa sehemu ya voice na video call, rangi na design zake.

🔘 Telegram imesema imeboresha ubora wa sauti na video kwenye calls
xshare_3_7_0_001.apk
42.8 MB
xshare_3_7_0_001.apk
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 COOL INVENTIONS FOR YOUR GARAGE
Mind Warehouse ►

1) Bapro Dyno






2) BluCave








3) SVENTEC R
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Edit Your Custom GPTs
🚀 Unlock the full potential of AI with our step-by-step guide on "How to Edit Your Custom GPTs"! Whether you're a developer, a data scientist, or an AI enthusiast, this video is your gateway to mastering GPT customization. 🤖

In this tutorial, we'll cover:

The basics of Generative Pre-trained Transformers (GPT)
How to personalize your GPT models for specific tasks
Tips and tricks for fine-tuning your custom GPTs to perfection

🔍 What you'll learn:

Understanding the architecture of GPT models
Implementing custom prompts and responses
Techniques for training your GPT on unique datasets
Best practices for maintaining and updating your models

🛠️ Equip yourself with the knowledge to edit and tailor your GPTs to your needs. From chatbots to content creation, the...
🆕 Baidu imevunja mkataba wa dola za Kimarekani bilioni 3.6 wa kuinunua YY Live ambayo ni Live Streaming platform ya China inayomilikiwa na kampuni ya Joyy.

🔘 Sababu kuu ni kibali cha udhibiti hakikupatikana katika kuruhusu Baidu kuinunua YY Live.
xshare_3_7_0_001.apk
42.8 MB
xshare_3_7_0_001.apk
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno BG6 Spark Go 2024 Frp Bypass Android 13 Without X Share
tecno spark go 2024 frp bypass,tecno frp bypass android 13
Waiting for instantView...
🗓 January 17 - Samsung itatambulisha rasmi simu za Galaxy S24.
🆕 Samsung itatambulisha akili bandia yake mpya ya Galaxy AI https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1742456993443385547#m
CES 2024 inaanza wiki ijayo na Samsung itaonyesha minitor mpya za OLED ambazo ni nzuri na maalum kwa watu ambao wanapenda games.

Samsung itatoa monitor ya Odyssey OLED G9, G8 na G6.

🔘 Samsung Odyssey OLED G9 (G95SD) - ina ukubwa wa inch 49 na resolution ya 5,120 x 1,440px. Refresh rate ya 240Hz

🔘 Samsung Odyssey OLED G8 (G80SD) ni 4K ya inch 32 na resolution ya 3,840 x 2,160px, na 120Hz

🔘 Samsung Odyssey OLED G6 (G60SD) ni inch 27, resolution 2,560 x 1,440.