Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 TikTok imeongeza taarifa za kuonyesha muda ambao unautumia kwenye app ya TikTok.

Katika sehemu ya Activity Center, TikTok imeanza kuboresha mwonekano wake; pia imeongeza graphs za kuonyesha muda ambao unautumia kwenye app kwa kila siku.

Sehemu hii itaongezeka na itakaa juu ya list ya Watch History, Comment History, Search History na Manage Post Visibility.

Itasaidia watu kufahamu ni siku zipi ambazo wanatumia sana TikTok na kupunguza matumizi ya muda mrefu.
🆕 Covers za Vision Pro zimevuja katika hakimiliki za Apple.

🔘 Inaonekana Apple inaunda covers maalum ambazo zitakuwa zinatumika kufunika na kutunza Vision Pro.
🆕 TikTok Music itakubali quality ya Lossless kwenye nyimbo
⚙️ Chuma inavuta Chuma
🆕 App ya Copilot imeanza kupatikana kwa watumiaji wa iOS (iPhone).

🔘 Hivi karibuni ilianza kupatikana kwa watumiaji wa Android.

🔘 Ni app ambayo inasaidia kujibu maswali kwa kutumia mfumo wa ChatGPT 4 Bure; kutengeneza picha kwa kutumia Akili Bandia na kuandika docs
💡 Hatua za Maendeleo, Ubunifu na Mabadiliko
🖼 Picha ambazo zimetengenezwa na Akili Bandia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🏗 Mashine maalum ambayo inarahisisha kazi ya kutafiti na kutazama chini ya maji.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

COOL INVENTIONS THAT WILL TAKE YOUR CAR TO A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Bolster Boost


2) TRAPMATS


3) Safar
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Update ya somo la kutengeneza Touch Sccreen |#nk
Update ya somo la kutengeneza Touch Sccreen |#nk
-----------

-----
-
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Generate Images with ChatGPT
Unlock the power of AI and learn how to generate stunning images with ChatGPT in this comprehensive tutorial! 🎨

Whether you're a designer, artist, or just someone curious about the capabilities of artificial intelligence, this video is your step-by-step guide to creating visuals with the cutting-edge ChatGPT model.

In this video, you'll discover:

The basics of ChatGPT and how it can be used for image generation.
Step-by-step instructions on setting up the necessary tools and software.
Tips and tricks to refine your image generation process for more detailed and accurate results.
We'll be using a combination of OpenAI's GPT models and other AI tools to show you how to turn text descriptions into beautiful, high-resolution images.

🔔 Don't forget to hit the subscribe button and turn on notifications to stay updated with our la...
Hii ni Motorola ThinkPhone

Ni simu ya mwaka 2023 ambayo inaongoza kwa kuwa na spika zenye nguvu zaidi
🔊📱 Simu mpya za 2023: ambazo zinaongoza kwa kuwa na sauti kubwa

🔘 Motorola inafanya vizuri kwa kuweka speaker zenye nguvu sana; asilimia kubwa ya simu ambazo zina sauti kubwa ni brand ya Motorola. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1741084338513453144#m
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Spark Go BG6 Reset Pattern Unlock Factory Reset Easy Trick Without Keys
How to reset Tecno BG6 phone when locked,
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS INVENTIONS THAT YOU SHOULD KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) Looking Glass Go


2) Tsubame Industries ARCHAX