Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Simu mpya za iOQOO Neo 9 na 9 Pro zimetoka, brand ya iQOO ni maarufu kwa kutengeneza simu ambazo ni nzuri katika games.

Neo Series ni simu za bei ya chini, tofauti na iQOO 12 na 12 Pro.

Sifa za iOQOO Neo 9 Pro

📱 6.78’’, iQOO, 144Hz, HDR10+
🧠 Mediatek Dimensity 9300 (4 nm)
💾 256GB 12GB RAM; 512GB 12GB RAM; 512GB 16GB RAM; 1TB 16GB RAM
📲 Android 14, OriginOS 4
📸 Wide 50MP, Ultrawide 50MP, Selfie 16MP
📹 4K60fps
🔋 5160mAh
⚡️ Inachaji 120W kwa waya (inafika 40% kwa dakika 9
📶 5G, Dual SIM, Wi-Fi 7, NFC, BT 5.3

Bei yake imeanza kwa Mil 1.
🆕 Rangi za gari mpya ya Xiaomi SU7

- Aqua Blue
- Mineral Gray
- Verdant Green
🆕 Apple ilikabiliwa na shinikizo kutoka kwa serikali ya India la kuipa onyo Apple kwa sababu ya ongezeko la mashambulizi ya udukuzi yanayolenga waandishi wa habari na wapinzani.

🔘 Ripoti za mwaka huu zinaonyesha ongezeko la udukuzi wa kutumia Pegasus unaofanyika na taasisi mbalimbali za kiserikali duniani zinazolenga waandishi wa habari.

🔘 Maafisa waandamizi walitaka maelezo tofauti na hata kumleta mtaalamu mkuu wa usalama wa Apple kutoka nje, lakini bado India haijaridhika na hatua zinazoendelea.
🆕 Microsoft imeanzisha app ya Copilot kwa watumiaji wa Android.

🔘 App hii inafanana na ChatGPT na pia ina mfumo wa DALL-E 3

🔘 Mfumo wake wa ChatGPT ni mfumo wa ChatGPT 4 - hivyo ni app nzuri ya kupata mfumo wa ChatGPT 4 bila kulazimika kuilipia.
🆕 Hii ni logo mpya ya mfumo wa Xiaomi HyperOS
🆕 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗶𝗺𝗲𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗸𝘂𝘂𝘇𝗮 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗪𝗮𝘁𝗰𝗵

🔘 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗪𝗮𝘁𝗰𝗵 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝟵 na 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗪𝗮𝘁𝗰𝗵 𝗨𝗹𝘁𝗿𝗮 𝟮 zitapatikana tena kwa ununuzi nchini Marekani katika maduka ya 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 kuanzia leo na kwenye tovuti ya 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INCREDIBLE INVENTIONS FOR TRUCKS
Mind Warehouse ►

1) LIQUID-X-LINER



2) XL Specialized Trailers




3) BE
🆕 Android Auto itakuwa na uwezo wa kusoma na kuzungumza summary za email na messages.

🔘 Itasaidia madereva kufahamu email na messages mpya bila kulazimika kuzifungua.

🔘 #UpandeWaPili bado ni muhimu kufahamu kuwa mfumo huu hautakuwa unahifadhi taarifa za emails na messages za watu.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

iPhone 15 Pro: 3 Months Later!
Long(er) term review with a plot twist

MKBHD Merch:

Tech I'm using right now:

Intro
Microsoft Copilot for Android

Microsoft imezindua app mpya ya Android inayoitwa Copilot. App hii ni msaidizi wa ubunifu wa lugha unaotumia AI. Inajumuisha mfumo wa ChatGPT 4, ambao ni toleo jipya zaidi la ChatGPT, mfumo wa AI wa mwingiliano wa maandishi na lugha.

Copilot inaweza kutumika kwa kazi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na:

* Kuandika maandishi
* Kutafsiri lugha
* Kuandika msimbo
* Kuunda maudhui ya ubunifu

App hii inapatikana kwa bure kwa watumiaji wa Android.

Ulinganisho na ChatGPT

Copilot ina sifa nyingi zinazofanana na ChatGPT, ikiwa ni pamoja na:

* Uwezo wa kuelewa na kujibu maagizo ya mtumiaji
* Uwezo wa kuzalisha maandishi ya ubunifu, kama vile mashairi, hadithi, na msimbo

Hata hivyo, Copilot pia ina baadhi ya vipengele vipya ambavyo ChatGPT haina, ikiwa ni pamoja na:

* Uwezo wa kutumia maarifa ya ulimwengu halisi
* Uwezo wa kuzalisha maandishi yanayofaa kwa muktadha wa mtumiaji

Hitimisho

Microsoft Copilot for Android ni app yenye nguvu ambayo inaweza kutumika kwa kazi mbalimbali. Ikiwa unatafuta msaidizi wa ubunifu wa lugha, Copilot ni chaguo nzuri.

Maoni maalum kuhusu Tanzania

Kwa watumiaji wa Tanzania, Copilot inaweza kuwa app muhimu kwa kazi za uandishi, kama vile kuandika makala, taarifa, na barua pepe. App hii pia inaweza kuwa muhimu kwa wanafunzi wanaojifunza lugha mpya.
🔥 Picha za Gari mpya ya Xiaomi, picha hizi zimepigwa na simu ya Xiaomi https://twitter.com/leijun/status/1740597095810404407#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ona PETE ya Samsung ( Samsung Ring) - Kifaa cha kuvaa kitakacho badili Maisha 2024
Maelezo ya Video: "Samsung Ring: Rafiki Yako wa Kuvaa Teknolojia"

Leo, tunakuletea uchunguzi wa kina wa kifaa kipya kutoka Samsung kinachoitwa "Samsung Ring." Hii ni hatua nyingine muhimu katika ul...