Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to use ChatGPT's new “Code Interpreter” feature
🚀 Dive into the future of coding with ChatGPT's latest feature - the "Code Interpreter"! In this comprehensive tutorial, we'll guide you through every step of utilizing this powerful tool to streamline your coding process. Whether you're a seasoned developer or just starting out, you'll learn how to leverage ChatGPT to write, debug, and optimize your code like never before. 🛠️

🔍 What You'll Learn:

The basics of ChatGPT's "Code Interpreter" feature.
How to integrate the feature into your existing coding workflow.
Tips and tricks for getting the most out of ChatGPT's AI capabilities.
Real-world examples of the "Code Interpreter" in action.

💡 Why Watch This Video?

Stay ahead of the curve in the evolving world of AI-assisted coding.
Improve your coding efficiency and reduce errors with AI insights.
Discover how to make ChatGPT a valuable part of your development toolkit...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🚀 Roketi ya Falcon Heavy inavyotua, unaweza kuhisi ni movie ya Sci-Fi !!!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Create amazing electronic projects , Top 6 simple electronic projects
Top 6 simple electronic projects , Create amazing
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

History fupi ya Snashtz, Hadi Kufika Hapa "Creators Meetup"
#snashtz #technology #history
History fupi Snashtz, Hadi Kufika Hapa "Creators Meetup"
🆕 GM imesitisha kuuza magari ya Chevy Blazer baada ya kugundua tatizo kubwa katika mfumo wa magari hayo.

🔘 Watumiaji wengi wamepata matatizo; screen yake inasumbua kwa kuzima na kuweka rangi nyeusi - baada ya muda inasema gari linahitaji service. Inaweza kutokea gari ikiwa kwenye mwendo na kupelekea ajali wa kusababisha panick.

🔘 GM imesema inachunguza kwa kina kuhusu mfumo wake wa kuonyesha taarifa za gari.
🔥 Chuma kipya cha Redmi Note 13 Pro
Kushindwa kwa Hyperloop - kutatoa fursa kubwa katika reli za mwendo kasi duniani

💡 Teknolojia ya Hyperloop ina uwezo mkubwa sana lakini gharama yake ni kubwa sana. Hivyo itachelewa kutumika katika miji mikubwa duniani.

💡 Reli za Mwendokasi (High-Speed Rail System) ndio zitachukua soko kwa sasa! https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1738427831909044495#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

PUMP YA SOLAR YENYE UWEZO MKUBWA KWA WENYE VISIMA VYA KUCHIMBA KWA MKONO
Huyu ndie mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.

Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
🆕 Kampuni ya SMIC ambayo ni kampuni kubwa ya kiteknolojia ya China imeanza kuunda chip za 3nm Process!

🔘 Marekani iliinyima China teknolojia ya EUV ambayo inaunda chip zenye ubora zaidi ya teknolojia ya DUV kwa kuwa EUV ina uwezo mzuri wa kubananisha transistors ndogo sana na katika idadi kubwa kwenye chip hivyo kupelekea chip kuwa na ubora na uwezo mkubwa zaidi.

🔘 Mwaka huu China iliishangaza dunia baada ya Huawei kutoa simu ambayo inatumia chip ya 7nm ambayo ina kiwango cha toleo la pili la 7nm ambayo ni bora kuliko 7nm ya Samsung.

🔘 Wataalam wa teknolojia walitabiri China inaweza kutengeneza chip za 5nm kwa DUV lakini mwezi huu Jarida kubwa la Nikkei Assia limethibitisha China inaelekea katika 3nm kwa kutumia DUV. Kitu ambacho kitashangaza sana wengi kwa sababu hakuna anayefahamu wala kutegemea mashine za DUV zinaweza kuunda chip za 3nm ambazo zina transistors nyingi zaidi.

Habari hii ni kubwa kwa sababu itakuza soko la chip za China kuwa kubwa na kujitegemea katika teknolojia na kukuza ushindani.
👍1
Huyu ndio mwamba na mastermind wa teknolojia mpya ya kutengeneza chip bora za China ambazo zinashindana na Intel, TSMC, na Samsung.

Anaitwa Chiang Shang-yi - alikuwa kiongozi wa juu katika kampuni za R&D, TSMC na Foxconn. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1739184739490169280#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Google Bard vs ChatGPT
🔍 Dive into the ultimate AI showdown: Google Bard vs ChatGPT! 🤖💥

In this in-depth comparison, we pit two of the most talked-about AI language models against each other. Google Bard, with its integration into the vast ecosystem of Google, and ChatGPT, known for its conversational prowess and OpenAI's cutting-edge technology. Who will come out on top?

👉 What you'll learn in this video:

The origins and development of Google Bard and Ch...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Chat gpt inamjua mpaka miso misondo🤣🤣🤣🤣#misomisondo#chatgpt#hapynewyear #2024#trendings #tiktoktanzania #foryoupage #tehamaonline #graphicsdesigning #programming
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

All in One| Jinsi ya kutuma Text kwenda kwenye Computer
All in One| Jinsi ya kutuma Text kwenda kwenye Computer
--------