Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Asante sana Team nzima ya @photonsenergy_ltd">@photonsenergy_ltd kwa kunipa nafasi hii kua sehemu ya Team Kubwa ya Ushindi iliyofanikiwa kuchukua “awards” nne tofauati hii ni kubwa sana @photonsenergy_ltd ushindi uendelee
channels4_profile.jpg
1.8 KB
New subscription on YouTube: mtelafr beats
🆕 Instagram inafanya mabadiliko katika mwonekano wake: kwenye vifaa ambavyo vinatumia screens kubwa - tablets na folding phones.
🆕 Mradi wa Hyperloop One unafungwa!

🔘 Hyperloop One ni mradi ambao ulikuwa unalenga kuunganisha treni maalum ambazo zina speed kutoka Ulaya kwenda China kwa kutumia teknolojia maalum ambayo ina speed kubwa sana!

🔘 Mradi huu ulianzishwa mwaka 2014; baada ya Elon Musk kutoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa hyperloop unavyoweza kuboresha teknolojia ya speed kubwa.

Sababu: Changamoto za kifedha na gharama
🆕 TikTok imeanza kuweka uwezo wa kutengeneza Shortcuts.

🔘 Itakuwa ni rahisi kutengeneza shortcuts mbalimbali za kutumia TikTok kwa urahisi. Mfano kufungua Inbox, Feed ya Marafiki, na kwenda katika sehemu ya kutafuta vitu (Search) kwa haraka.

🔘 Mabadiliko haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung a04e frp bypass *#0*# not working solution | Samsung a04e unlock google lock
Samsung a04e frp bypass *#0*# not working solution | Samsung a04e unlock google lock
Samsung a04e frp android 13/Unlock google account lock
Samsung A04/A04s/A04e FRP Bypass Android 12 Without Pc | A045F/A047F/A042F Google Account Bypass Fix Clear Data Not Supported.
samsung a04 frp bypass,samsung a04s frp bypass,samsung a04e frp bypass,samsung a04 google account bypass,samsung a04s google account bypass,samsung a04e google account bypass,samsung a04 frp bypass android 12,samsung a04e frp bypass android 12,samsung a04s frp bypass android 12,samsung a04 frp bypass without pc,samsung a04e frp bypass without pc,samsung a04s frp bypass without pc,a045f frp,a042f frp,a047f frp,a04 frp,a04s frp,a04e frp,not supported fix frp
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

jinsi ya kuinstall application za simu ambazo zinagoma kuinstall app nje ya playstore unkwon app
jinsi ya kuinstall application za simu ambazo zinagoma kuinstall app nje ya playstore
How to Enable Apps from Unknown Sources on Firestick [2023]
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia


JINSI YA KUTENGENEZA IPHONE ILIYO ANGUKA THEN IKIWA INAWASHWA INALETA DARK BLUE SCREEN
🆕 Module za kamera ya Samsung Galaxy S24 Ultra umevuja.

◉ Inaonekana Samsung imeondoa lens ya 10X zoom na kuipunguza ukubwa kuwa 5x zoom ili kuongeza nafasi katika lens ya Wide
🆕 Mwonekano mpya wa Samsung Galaxy S24+
🆕 Mwonekano mpya wa Samsung Galaxy S24