Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⚫️ - Nyeusi ni Rangi

⚪️ - Nyeupe ni Rangi

🧠 Lakini mbona TV ambazo ni "Black & White" sio TV za Rangi ?
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

EXTREME INVENTIONS THAT WILL SURPRISE YOU
Mind Warehouse ►

1) Phoenix Fly





2) Zapata Flyboard Air
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Become a Data Analyst using ChatGPT!
Are you ready to take your data analysis skills to the next level? Look no further! In this exciting tutorial, we'll explore how you can harness the power of ChatGPT to become a proficient Data Analyst.

🔍 What's Inside?

📊 Master Data Analysis Techniques: Learn essential data analysis techniques that will empower you to make informed decisions.

🤖 Unleash ChatGPT for Data Insights: Discover how ChatGPT, the cutting-edge language model, can assist you in extracting meaningful insights from your datasets.

🛠️ Hands-On Practice: Follow along with our step-by-step guide and get hands-on experience applying ChatGPT to real-world data scenarios.

📈 Build Your Portfolio: Enhance your professional portfolio by showcasing your newfound skills in data analysis using ChatGPT.

🎓 Who is this For?

Whether you're a beginner in data ana...
🆕 Mfumo wa satelaiti wa iPhone sasa unatoa usaidizi wa huduma za kupata msaada ukiwa barabarani kwa watumiaji wa iPhone 14 na 15.

🔘 Watumiaji wa iPhone wanaweza kupata mawasiliano ya msaada wa kuvuta gari, kuinua, usafirishaji wa mafuta, kuanzisha gari, na huduma za matairi.
Meta imeanza kufanya majaribio ya kuweka mfumo wa kutengeneza background za picha kwa kutumia Akili Bandia.

Meta imeanzisha mfumo mpya ambao unaitwa Backdrop kwa watumiaji wa Marekani, kabla ya kuachia mfumo huu kwa watumiaji wote baada ya kufanyiwa majaribio.

Mfumo wa Backdrop utasaidia watumiaji wa Instagram kutengeneza backdround za picha kwa kutumia Akili Bandia. Mfano unaweza kucheck kwenye video kwenye comments.

Ukiweka picha yako kwenye Insta Story, ukituma kwenye DM au kwenye Post; itaongezeka option ya kubadilisha background ya picha. Utaandika background ambayo unaitaka na AI itatengeneza (generate) aina mbalimbali za Background.

Hizi ni feature ambazo hazikupaswa kuwepo kwenye Instagram, zilipaswa kuwepo kwenye apps za ku-edit picha. Meta ipo kwenye stress ya kushindana na Canvas, InShot, Unfold, na CapCut.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Sekisui SPR





2) Conecc Precast C
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Automate Excel With ChatGPT
🚀 Unlock the Power of Automation: Automate Excel with ChatGPT! 📊💡

Welcome back, ChatGPT Tutorials fam! 🔥 In today's game-changing tutorial, we're diving deep into the world of automation, and guess what? We're using the incredible ChatGPT to revolutionize your Excel experience! 🚀🔍

What to Expect in This Video:

👉 Introduction to ChatGPT: We'll kick things off with a brief overview of ChatGPT, the AI marvel that's about to make your Excel tasks a breeze. Get ready to say goodbye to manual processes and hello to efficiency!

👉 Setting Up ChatGPT with Excel: Follow along as we guide you through the simple steps to integrate ChatGPT seamlessly with your Excel spreadsheet. No tech-savvy skills required – we've got you covered!

👉 Mastering Excel Automation: Uncover the limitless possibilities of automating repetitive tasks, formul...
🆕 ChatGPT imeachia mfumo wa Sauti kwa watumiaji wote hata wale ambao wanaitumia bila kulipia.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mfano wa namna ambavyo Akili Bandia ya Instagram itafanya kazi katika kutengeneza background za picha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🔥 Video ya Akili Bandia na mfumo wa Roboti zinavyotumika kwenye jiko la mgahawa ambao unatengeneza Burger 🍔

🦾 Mfumo wake unaweza kutambua nyama imeiva, kukaanga chips na kufahamu kama zimeiva vizuri.

Inaweza kupanga viungo vya barger na kukamilisha hatua zote za mapishi na kuandaa Burger kama mwanadamu.
🆕 LinkenIn inafanya majaribio ya kuweka short-form video kama TikTok.

🔘 Zitakuwa zinasaidia kutoa tips kwa members na wataalam mbalimbali kuelezea ujuzi wao.

🔘 Majaribio haya yameanza katika app ya LinkedIn Learning kabla ya feeds za LinkenIn hazijaanza kubadilika na kuwa na mfumo huu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno BG6 Spark Go 2024 Hard Reset Latest Patch!!
Tecno bg6 spark go 2024 hard reset latest patch, TECNO Spark Go 2024 H
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How do Video Game Graphics Work?
Go to for a 30-day free trial and expand your knowledge. The first 200 people will get