Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Kampuni ya ByteDance inatumia teknolojia ya OpenAI kwa siri ili kuunda na kuboresha mfuno wake wa Akili Bandia yake binafsi.

🔘 Kufanya hivyo ni kukikiuka masharti ya huduma ya OpenAI.

🔘 Hati za kampuni zinadhihirisha kuwa ByteDance imetumia API ya OpenAI sana katika kufundisha na kutathmini mfumo wake.

🔘 OpenAI haijachukua hatua zozote! Inawezekana na OpenAI inategemea data za ByteDance!

🔘 Habari hii inadhihirisha kuwa kampuni inayoimiliki TikTok, inaunda AI yake binafsi ambayo ni kubwa!
🆕 YouTube itaongeza gharama za YouTube Premium
🆕 Proton Mail imeanzisha app ya kompyuta kwa watumiaji wa Windows na Macs.

🔘 Proton Mail inatoa huduma za barua pepe ambazo ni encrypted. Ni mfumo salama zaidi ya Gmail na Yahoo!

🔘 Sasa watumiaji wa kompyuta wanaweza kupata app yake. Tayari inapatikana kwenye simu, iPads, na Web.
🇨🇳🆕 Matumizi ya iPhone katika idara za kiserikali nchini China yamezidi kushuka.

🔘 Majimbo 8 yameongezeka katika orodha ya majimbo ambayo yamekataza idara za kiserikali kutumia iPhone katika shughuli za kazi.

🔘 Makampuni ya serikali na idara za serikali katika majimbo mengine 8 ya China yamewaagiza wafanyakazi kutumia simu za mkononi za chapa za ndani badala ya zile za iPhone.

🔘 Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa Apple na kampuni nyingine za teknolojia za kigeni zinazofanya kazi nchini China.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hiki Hapa hakipo Kwenye iPhone Kwenye Android .. #Simukitaa ...
🆕 Chuma kipya cha Redmi Note 13 Pro+

🗓 Jan 4, 2024

🔘 Mwonekano wake ni 🔥
channels4_profile.jpg
5.7 KB
New subscription on YouTube: Mr VFX
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to learn a language with ChatGPT
Welcome to ChatGPT Tutorials! 🌐 Ready to embark on an exciting language-learning journey? In this video, we'll explore the innovative and effective method of mastering a new language using ChatGPT. Whether you're a beginner or looking to enhance your language skills, this tutorial is packed with tips and strategies to make the process enjoyable and efficient.

Introduction to ChatGPT Language Learning: Discover the power of leveraging ChatGPT, a cutting-edge language model, to accelerate your language learning adventure. We'll walk you through the features that make ChatGPT an exceptional tool for language learners.

Personalized Learning Experience: Uncover how ChatGPT can tailor its responses to your specific language learning needs. From vocabulary building to sentence construction, you'll witness firsthand how this AI-driven...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

FAHAMU SIMU ZILIZOWAHI KUTUMIWA NA MASTAA MBALIMBALI DUNIANI NA UWEZO WAKE WA KUFANYA KAZI
#iphone #tanzania #simu #daressalaamtanzania
🆕 Google itabadilisha namna ambayo inahifadhi kumbukumbu za maeneo ya watumiaji ndani ya Google Map, ili kuweka ugumu kwa mamlaka kupata data hiyo.

🔘 Mabadiliko haya yanalenga kushughulikia masuala ya faragha na kupunguza matumizi ya 'amri za uzio wa eneo' zinazojadiliwa sana na vyombo vya sheria.

🔘 Mabadiliko haya yataanza taratibu katika mwaka ujao, na watumiaji watakuwa na udhibiti zaidi wa data zao za historia za maeneo yao.
[Tips] How to embed X, Instagram, TikTok videos on Telegram

• X (Twitter)
Change x.comfixupx.com or fixvx.com in your link
Change twitter.comfxtwitter.com or vxtwitter.com in your link

• X (Twitter) on Instant View
Change x.comi.fixupx.com in your link

• Instagram
Change instagram.comddinstagram.com in your link

• TikTok
Change tiktok.comvxtiktok.com in your link

Note: some links may not work
More Info: fixupx.com, fixvx.com, ddinstagram.com, vxtiktok.com

@Telegram #tips
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Edit picha yako iwe na muonekano kam huu uliojificha katika mazingira!
katika video hii utajifunza jinsi ya ku edit pich
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jifunze coding lugha C | 6 | #nk
Jifunze coding lugha C | 6 | #nk

Link ya mtandao wa mwanzo:
Link ya mtandao wa pili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Build Your Personal GPTs: From Zero to AI Hero
🚀 Unlock the world of Artificial Intelligence with our latest video guide: "How to Build Your Personal GPTs: From Zero to AI Hero"! 🤖

Are you ready to embark on a journey into the fascinating realm of AI development? Look no further! In this comprehensive tutorial, we'll guide you step-by-step through the process of creating your very own Generative Pre-trained Transformer (GPT) from scratch.

🔧 What You'll Learn:

Setting up the development environment: Discover the essential tools and resources you need to kickstart your AI project.

Understanding GPT architecture: Unravel the intricacies of Generative Pre-trained Transformers and grasp the fundamentals of their functioning.

Coding your GPT: Dive into practical coding sessions as we walk you through the implementation process, making complex concepts easy to understand.

Training your model: Learn the art of training your...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Spark 10cK15k FRP Bypass NEW METHOD 2023 Android 12
#Tecnospark10c #k15k #frpbypass
Tecno spark 10ck15k frp bypas