π Apple imetoa onyo kwa watumiaji wa Apple Watch ambao wanatumia chaja ambazo sio original.
https://support.apple.com/en-us/HT213854

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
21 COOL GADGETS THAT WILL PROTECT YOUR CAR
Mind Warehouse βΊ
1) HailSuit
(preview)
2) Rimgard
3) Purp

Alternative heating method in natural gas crisis, diesel heating system, VEVOR
They banned my super cheap heating! Free

π Kampuni ya Nothing imetoa mfumo mpya wa Nothing OS 2.5 na Android 14 kwa watumiaji wote wa simu za Nothing 2.
πΌππππ πππ’π π π ππππ π£π π½ππππππ πππ ππππππππππ π’πππππππ’π.
β Sehemu ya kutengeneza Lock Screen na Home Screen imefanyiwa maboresho
β Wallpapers mpya na styles mpya
β Widgets mpya za Pedometer, Media Player na Screen Time.
β Maboresho katika Glyph Timer na animations mpya
β Sehemu mpya ya kuongeza sauti
β Style mpya za kupiga na ku-edit screenshots
β App ya Camera imeboreshwa stability
β Maboresho katika speed na performance
β Maboresha ya kiusalama katika mfumo mpya wa Android 14
πΌππππ πππ’π π π ππππ π£π π½ππππππ πππ ππππππππππ π’πππππππ’π.
β Sehemu ya kutengeneza Lock Screen na Home Screen imefanyiwa maboresho
β Wallpapers mpya na styles mpya
β Widgets mpya za Pedometer, Media Player na Screen Time.
β Maboresho katika Glyph Timer na animations mpya
β Sehemu mpya ya kuongeza sauti
β Style mpya za kupiga na ku-edit screenshots
β App ya Camera imeboreshwa stability
β Maboresho katika speed na performance
β Maboresha ya kiusalama katika mfumo mpya wa Android 14
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
21 COOL GADGETS THAT WILL PROTECT YOUR CAR
Mind Warehouse βΊ
1) HailSuit
(preview)
2) Rimgard
3) Purp
21 COOL GADGETS THAT WILL PROTECT YOUR CAR
Mind Warehouse βΊ
1) HailSuit
(preview)
2) Rimgard
3) Purp
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza picha kwa kutumia bing image creator,unaandika tu neno la picha unayoitaka then picha inatokea #bingimagecreator #artificialintelligance #bing #tehamaonline #tehama #tiktokzanzbar #ai #art #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupage #workofart #trendings #tiktoktanzaniaπΉπΏ #tiktokkenya
π1
π Kampuni ya ByteDance inatumia teknolojia ya OpenAI kwa siri ili kuunda na kuboresha mfuno wake wa Akili Bandia yake binafsi.
π Kufanya hivyo ni kukikiuka masharti ya huduma ya OpenAI.
π Hati za kampuni zinadhihirisha kuwa ByteDance imetumia API ya OpenAI sana katika kufundisha na kutathmini mfumo wake.
π OpenAI haijachukua hatua zozote! Inawezekana na OpenAI inategemea data za ByteDance!
π Habari hii inadhihirisha kuwa kampuni inayoimiliki TikTok, inaunda AI yake binafsi ambayo ni kubwa!

RT @Ramatech255: Nothing comes closer to Something... https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1736014056094654700#m
π¨π³π Matumizi ya iPhone katika idara za kiserikali nchini China yamezidi kushuka.
π Majimbo 8 yameongezeka katika orodha ya majimbo ambayo yamekataza idara za kiserikali kutumia iPhone katika shughuli za kazi.
π Makampuni ya serikali na idara za serikali katika majimbo mengine 8 ya China yamewaagiza wafanyakazi kutumia simu za mkononi za chapa za ndani badala ya zile za iPhone.
π Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa Apple na kampuni nyingine za teknolojia za kigeni zinazofanya kazi nchini China.
π Majimbo 8 yameongezeka katika orodha ya majimbo ambayo yamekataza idara za kiserikali kutumia iPhone katika shughuli za kazi.
π Makampuni ya serikali na idara za serikali katika majimbo mengine 8 ya China yamewaagiza wafanyakazi kutumia simu za mkononi za chapa za ndani badala ya zile za iPhone.
π Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa Apple na kampuni nyingine za teknolojia za kigeni zinazofanya kazi nchini China.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hiki Hapa hakipo Kwenye iPhone Kwenye Android .. #Simukitaa ...