RT @Nnauye_Nape: SAFARI YA TANZANIA KWENYE SETELAITI YAIVA.
Tumefanikiwa kupata nafasi katika Orbit kwa ajili ya matumizi ya setelaiti. Orbit mpya ya setelaiti kwa Tanzania ni nyuzi (16 W). Mafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)! Ahsante Rais Samia kwa Uongozi uliotukuka!

🇹🇿 Tanzania yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Anga!
Tanzania imepata nafasi muhimu katika obiti ya dunia kwa ajili kurusha na kumiliki satelaiti zake binafsi. Ni hatua ya kwanza inayofungua njia ya kurusha satelaiti zake angani.
Mafanikio haya ya kihistoria, yaliyotangazwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, yanaashiria hatua muhimu mbele katika malengo ya anga kwa Tanzania.
“Mafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)” Mh. Nnauye alitangaza, akionyesha juhudi kubwa kwenye jukwaa la kimataifa.
Obiti mpya hii, ikiwa katika digrii 16 Magharibi, inaipa Tanzania nafasi maalumu katika upeo mkubwa wa anga la dunia. Sekta kama vile mawasiliano, kilimo, usimamizi wa maafa na maendeleo makubwa kutokana na uwezo teknolojia hii. Pia juhudi ya Tanzania la kupata Oboti yake itavutia wawekezaji kote duniani.
Kote bara la Afrika, mataifa machache ambayo yamefika hatua kubwa.
Misri inaongoza kwa satelaiti tisa anga...
View original post

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Samsung A03 Core Frp Bypass All Android A032F Google Account Bypass
Samsung a03 core google account bypass,samsung a03 c

Inaendelea Youtube Ya #simukitaa Link iko Kwenye Bio #simuk...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kabla simu yako haijaibuwa seti hivi #simukitaa #sanukakita...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Full Video iko Youtube Ya #Simukitaa Link iko Kwenye Bio.. #...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Replying to @katotoink03 Jinsi ya kutengeneza picha kwa kuan...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
JE ! Itasaidia nini ? Tanzania Kupata "ORBIT" ya "SATELLITE
#snashtz #tanzania #satellite

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
The Worst Hot Takes in Tech
You all should be sorry
Previous hot takes:
Jimmy: @JxmyHighroller
MKBHD Merch:
Tech I
The Worst Hot Takes in Tech
You all should be sorry
Previous hot takes:
Jimmy: @JxmyHighroller
MKBHD Merch:
Tech I
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
NAMNA YA KUTATUA TATIZO LA SIMU YAKO KUJITOUCH (GHOST TOUCH)
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Unajua Madhara Ya Makava ? Na Solution ikitokea simu imepata...
Jinsi ya Kufungua Blog Kuanzia Mwaka 2024 na Kuendelea
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/12/jinsi-ya-kufungua-blog/

Tanzania Tech
Jinsi ya Kufungua Blog Kuanzia Mwaka 2024 na Kuendelea - Tanzania Tech Kiswahili
Linapokuja swala zima la kufungua blog au kuanzisha blog ni vyema umekuja kwenye makala hii kwani kupitia hapa nitakujuza yote ya muhimu unayo takiwa kujua