Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿค” Baada ya movie mpya ya โ€œLeave the World Behindโ€ kuvuma na kuonyesha magari ya Tesla kujiendesha vibaya na mfumo wa โ€œAuto Pilotโ€ kusababisha ajali barabaraniโ€ฆ

- Tesla imeyarudisha kiwandani magari zaidi ya Milioni 2, kwa sababu mifumo yake ya Autopilot sio salama!

๐Ÿค” ๐Ÿค”๐Ÿค”
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

diy projects USE LED Strip Lights RGB LED 12V | Electronics projects | WeCreat Vision
How to Install LED Light Strips, H
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to summarize a PDF in ChatGPT
Unlock the full potential of PDF summarization with ChatGPT! In this video, we delve deep into the transformative techniques that ChatGPT offers for summarizing PDFs. Discover the art of efficient summarization and elevate your document analysis game. ๐Ÿš€

Explore step-by-step instructions, insider tips, and real-world examples to master the middle ground of PDF summarization. Whether you're a novice or an expert, ChatGPT's Midas touch will revolutionize the way you approach summarizing documents.

๐Ÿ‘‰ Don't miss out on this epic journey to unveil ChatGPT's secrets for PDF summarization. Hit play now and level up your skills!

#PDFSummarization
#ChatGPTSecrets
#DocumentAnalysis
#YouTubeTutorial
#TechTips
#ChatGPTMagic
#VideoGuide
#LearnWithChatGPT
#TransformativeSkills
#ElevateYourKnowledge
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza picha kwa kutumia bing image creator,unaandika neno la picha unayoitaka inatokea ..Full video ipo youtube,tumeanzia Jinsi ya kutengeneza akaunti za bing ili utengeneze picha...Nenda youtube andika Tehama Online..itakuja channel yetu#bing#bingimagecreator#artificialintelligance #tiktoktanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tiktokkenya #tiktokzanzbar #tehama #tehamaonline #ai #art #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupage #workofart #trendings
Ripoti mpya za โ€œData Never Sleepsโ€ zimetoka na zinaonyesha shughuli kubwa ambazo zimeendelea kwa mwaka huu ndani ya wastani wa kila dakika moja.

๐Ÿ‘‡๐Ÿผ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

โ–  Maswali Milioni 6.3 yanaulizwa kwenye Google

โ–  Message 41,600,000 zinatumwa kwenye WhatsApp.

โ–  Reels 694,000 zinatumwa kwenye DM Instagram.

โ–  Maswali 6,944 yanaulizwa kwenye ChatGPT.

โ–  Emails 241,000,000 zinatumwa duniani.

โ–  Kila mtu mmoja anatengeneza wastani wa 102MB za data.

โ–  Likes Milioni 4 kwenye Facebook.

โ–  Nyumba/maeneo 747 yanapata wateja wapya kwenye Airbnb.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DUKA LENYE NGUO NA VITU AINA ZOTE NA SIZE ZOTE ZA WATOTO @...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
The Day Before Game Review
RT @Nnauye_Nape: SAFARI YA TANZANIA KWENYE SETELAITI YAIVA.
Tumefanikiwa kupata nafasi katika Orbit kwa ajili ya matumizi ya setelaiti. Orbit mpya ya setelaiti kwa Tanzania ni nyuzi (16 W). Mafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)! Ahsante Rais Samia kwa Uongozi uliotukuka!
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tanzania yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Anga!

Tanzania imepata nafasi muhimu katika obiti ya dunia kwa ajili kurusha na kumiliki satelaiti zake binafsi. Ni hatua ya kwanza inayofungua njia ya kurusha satelaiti zake angani.

Mafanikio haya ya kihistoria, yaliyotangazwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, yanaashiria hatua muhimu mbele katika malengo ya anga kwa Tanzania.

โ€œMafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)โ€ Mh. Nnauye alitangaza, akionyesha juhudi kubwa kwenye jukwaa la kimataifa.

Obiti mpya hii, ikiwa katika digrii 16 Magharibi, inaipa Tanzania nafasi maalumu katika upeo mkubwa wa anga la dunia. Sekta kama vile mawasiliano, kilimo, usimamizi wa maafa na maendeleo makubwa kutokana na uwezo teknolojia hii. Pia juhudi ya Tanzania la kupata Oboti yake itavutia wawekezaji kote duniani.

Kote bara la Afrika, mataifa machache ambayo yamefika hatua kubwa.

Misri inaongoza kwa satelaiti tisa anga...

View original post
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Samsung A03 Core Frp Bypass All Android A032F Google Account Bypass
Samsung a03 core google account bypass,samsung a03 c