๐ค Baada ya movie mpya ya โLeave the World Behindโ kuvuma na kuonyesha magari ya Tesla kujiendesha vibaya na mfumo wa โAuto Pilotโ kusababisha ajali barabaraniโฆ
- Tesla imeyarudisha kiwandani magari zaidi ya Milioni 2, kwa sababu mifumo yake ya Autopilot sio salama!
๐ค ๐ค๐ค

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
diy projects USE LED Strip Lights RGB LED 12V | Electronics projects | WeCreat Vision
How to Install LED Light Strips, H

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
How to summarize a PDF in ChatGPT
Unlock the full potential of PDF summarization with ChatGPT! In this video, we delve deep into the transformative techniques that ChatGPT offers for summarizing PDFs. Discover the art of efficient summarization and elevate your document analysis game. ๐
Explore step-by-step instructions, insider tips, and real-world examples to master the middle ground of PDF summarization. Whether you're a novice or an expert, ChatGPT's Midas touch will revolutionize the way you approach summarizing documents.
๐ Don't miss out on this epic journey to unveil ChatGPT's secrets for PDF summarization. Hit play now and level up your skills!
#PDFSummarization
#ChatGPTSecrets
#DocumentAnalysis
#YouTubeTutorial
#TechTips
#ChatGPTMagic
#VideoGuide
#LearnWithChatGPT
#TransformativeSkills
#ElevateYourKnowledge

Jinsi ya kutengeneza picha kwa kutumia bing image creator,unaandika neno la picha unayoitaka inatokea ..Full video ipo youtube,tumeanzia Jinsi ya kutengeneza akaunti za bing ili utengeneze picha...Nenda youtube andika Tehama Online..itakuja channel yetu#bing#bingimagecreator#artificialintelligance #tiktoktanzania๐น๐ฟ #tiktokkenya #tiktokzanzbar #tehama #tehamaonline #ai #art #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupage #workofart #trendings
Ripoti mpya za โData Never Sleepsโ zimetoka na zinaonyesha shughuli kubwa ambazo zimeendelea kwa mwaka huu ndani ya wastani wa kila dakika moja.
๐๐ผ๐๐๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ญ๐๐ผ
โ Maswali Milioni 6.3 yanaulizwa kwenye Google
โ Message 41,600,000 zinatumwa kwenye WhatsApp.
โ Reels 694,000 zinatumwa kwenye DM Instagram.
โ Maswali 6,944 yanaulizwa kwenye ChatGPT.
โ Emails 241,000,000 zinatumwa duniani.
โ Kila mtu mmoja anatengeneza wastani wa 102MB za data.
โ Likes Milioni 4 kwenye Facebook.
โ Nyumba/maeneo 747 yanapata wateja wapya kwenye Airbnb.
๐๐ผ๐๐๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ญ๐๐ผ
โ Maswali Milioni 6.3 yanaulizwa kwenye Google
โ Message 41,600,000 zinatumwa kwenye WhatsApp.
โ Reels 694,000 zinatumwa kwenye DM Instagram.
โ Maswali 6,944 yanaulizwa kwenye ChatGPT.
โ Emails 241,000,000 zinatumwa duniani.
โ Kila mtu mmoja anatengeneza wastani wa 102MB za data.
โ Likes Milioni 4 kwenye Facebook.
โ Nyumba/maeneo 747 yanapata wateja wapya kwenye Airbnb.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DUKA LENYE NGUO NA VITU AINA ZOTE NA SIZE ZOTE ZA WATOTO @...
RT @Nnauye_Nape: SAFARI YA TANZANIA KWENYE SETELAITI YAIVA.
Tumefanikiwa kupata nafasi katika Orbit kwa ajili ya matumizi ya setelaiti. Orbit mpya ya setelaiti kwa Tanzania ni nyuzi (16 W). Mafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)! Ahsante Rais Samia kwa Uongozi uliotukuka!

๐น๐ฟ Tanzania yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Anga!
Tanzania imepata nafasi muhimu katika obiti ya dunia kwa ajili kurusha na kumiliki satelaiti zake binafsi. Ni hatua ya kwanza inayofungua njia ya kurusha satelaiti zake angani.
Mafanikio haya ya kihistoria, yaliyotangazwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, yanaashiria hatua muhimu mbele katika malengo ya anga kwa Tanzania.
โMafaniko haya ni moja ya matokeo ya mkutano wa Umoja wa Mawasiliano Duniani-2023(WRC23)โ Mh. Nnauye alitangaza, akionyesha juhudi kubwa kwenye jukwaa la kimataifa.
Obiti mpya hii, ikiwa katika digrii 16 Magharibi, inaipa Tanzania nafasi maalumu katika upeo mkubwa wa anga la dunia. Sekta kama vile mawasiliano, kilimo, usimamizi wa maafa na maendeleo makubwa kutokana na uwezo teknolojia hii. Pia juhudi ya Tanzania la kupata Oboti yake itavutia wawekezaji kote duniani.
Kote bara la Afrika, mataifa machache ambayo yamefika hatua kubwa.
Misri inaongoza kwa satelaiti tisa anga...
View original post

Samsung A03 Core Frp Bypass All Android A032F Google Account Bypass
Samsung a03 core google account bypass,samsung a03 c