Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
RT @inframe_tz: Kamera zina maumbo ya ajabu sana,
↳ Meet DJI Ronin 4D-8K

Price:
USD $12,838
↳ Tsh 32,159,190.00
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How To Summarize a YouTube Video With ChatGPT
🔍 Unlock the Power of Summarization with ChatGPT! Learn How to Summarize YouTube Videos Like a Pro! 🚀📑

Welcome to ChatGPT Tutorials, your go-to destination for all things AI! In today's tutorial, we're delving into the incredible world of video summarization using ChatGPT. Discover the step-by-step guide on how to effectively summarize any YouTube video, making information absorption faster and more efficient!

📌 Key Takeaways:

Why video summarization matters and how it can revolutionize your content consumption.
Introduction to ChatGPT and its capabilities in summarization.
A hands-on demonstration of summarizing a YouTube video using ChatGPT.
Tips and tricks to generate concise and informative summaries tailored to your needs.
👨‍💻 Who Should Watch This Tutorial:

Content creators seeking efficient ways to summ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kurudisha picha zilizofutika kimakosa
katika video hii utajifunza jinsi ya kurudisha picha na video zilizofutika kimakosa katika simu yako.

link:-
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Black Mirror "The Entire History of You" Review / Noma ! Sana ( in Swahili )
#snashtz #movies #netflix
Black Mirror "The Entire History of You" Review / Noma ! Sana ( in Swahili )
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Redmi A1+ FRP Bypass 220733SFG Xiaomi Android New Patch!!
Redmi a1 frp bypass,redmi a1 2024 frp bypass,redmi a1 frp bypa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Sijui na Hii itakufa ? Steam Deck Review
#snashtz #games #steamdeck
Sijui na Hii itakufa ? Steam Deck Review
Video Source @mkbhd
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kumbe Makampuni makubwa yote yanatumia C !! |#nk
Kumbe Makampuni makubwa yote yanatumia C !! |#nk

Link ya Group la Cod
🆕 Thamani ya hisa za Apple inazidi kupanda na hakuna dalili ya kupungua kwa kasi ya ongezeko la thamani ya hisa za Apple Inc.

Baada ya kufunga kwa rekodi ya juu siku ya Jumatano, thamani ya soko la Apple inakaribia ile ya soko kubwa la hisa la Ulaya: Ufaransa.

Thamani ya pamoja ya soko la kampuni zilizoorodheshwa Paris ilikuwa karibu $3.2 trilioni kufikia kufungwa kwa siku ya Jumatano dhidi ya $3.1 trilioni ya kampuni hiyo ya teknolojia, kulingana na ripoti iliyoandaliwa na Bloomberg.

Hii ina maana kwamba Apple ni kubwa kuliko masoko yote ya hisa isipokuwa sita makubwa zaidi duniani.
🆕 Haya ni mabadiliko mapya ya WhatsApp kwa watumiaji wa iPhone:

⏱️ Uwezo wa kutuma ujumbe wa Sauti ambao unafutika baada ya mpokeaji kusikiliza

📌 Ku-pin ujumbe ndani ya chats

🛜 Sehemu ya kuona kama internet ipo okay kwenye calls
RT @mBongo: Technical assistance project sought to support the development of @CRDBBankPlc non-financial services to MSMEs for the women, youth, #StartUps & informal sector, backed by @Proparco with funding from @AFD_en.

Full add on today’s @TheCitizenTz page 10.
📊 Mauzo na mapato ya kampuni ya Apple kwenye robo ya mwisho ya mwaka 2023
🤔 Baada ya movie mpya ya “Leave the World Behind” kuvuma na kuonyesha magari ya Tesla kujiendesha vibaya na mfumo wa “Auto Pilot” kusababisha ajali barabarani…

- Tesla imeyarudisha kiwandani magari zaidi ya Milioni 2, kwa sababu mifumo yake ya Autopilot sio salama!

🤔 🤔🤔
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

diy projects USE LED Strip Lights RGB LED 12V | Electronics projects | WeCreat Vision
How to Install LED Light Strips, H
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to summarize a PDF in ChatGPT
Unlock the full potential of PDF summarization with ChatGPT! In this video, we delve deep into the transformative techniques that ChatGPT offers for summarizing PDFs. Discover the art of efficient summarization and elevate your document analysis game. 🚀

Explore step-by-step instructions, insider tips, and real-world examples to master the middle ground of PDF summarization. Whether you're a novice or an expert, ChatGPT's Midas touch will revolutionize the way you approach summarizing documents.

👉 Don't miss out on this epic journey to unveil ChatGPT's secrets for PDF summarization. Hit play now and level up your skills!

#PDFSummarization
#ChatGPTSecrets
#DocumentAnalysis
#YouTubeTutorial
#TechTips
#ChatGPTMagic
#VideoGuide
#LearnWithChatGPT
#TransformativeSkills
#ElevateYourKnowledge
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Jinsi ya kutengeneza picha kwa kutumia bing image creator,unaandika neno la picha unayoitaka inatokea ..Full video ipo youtube,tumeanzia Jinsi ya kutengeneza akaunti za bing ili utengeneze picha...Nenda youtube andika Tehama Online..itakuja channel yetu#bing#bingimagecreator#artificialintelligance #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #tiktokzanzbar #tehama #tehamaonline #ai #art #fyppppppppppppppppppppppp #foryoupage #workofart #trendings
Ripoti mpya za “Data Never Sleeps” zimetoka na zinaonyesha shughuli kubwa ambazo zimeendelea kwa mwaka huu ndani ya wastani wa kila dakika moja.

👇🏼𝗞𝘄𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗮 𝘄𝗮 𝗱𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 𝟭👇🏼

■ Maswali Milioni 6.3 yanaulizwa kwenye Google

■ Message 41,600,000 zinatumwa kwenye WhatsApp.

■ Reels 694,000 zinatumwa kwenye DM Instagram.

■ Maswali 6,944 yanaulizwa kwenye ChatGPT.

■ Emails 241,000,000 zinatumwa duniani.

■ Kila mtu mmoja anatengeneza wastani wa 102MB za data.

■ Likes Milioni 4 kwenye Facebook.

■ Nyumba/maeneo 747 yanapata wateja wapya kwenye Airbnb.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DUKA LENYE NGUO NA VITU AINA ZOTE NA SIZE ZOTE ZA WATOTO @...