Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.71K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

AMAZING CONCEPTS THAT YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) DEEP Sentinel System


2) SPACE URCHIN


3) Xpeng AeroHT
🪙 Thamani za Crypto kwa sasa!
🇰🇪 Rais William Ruto ametangaza kuwa kampuni ya Meta, imekubali kuweka mfumo wa mapato kwenye maudhui ya nchini Kenya baada ya mazungumzo yenye mafanikio kati ya Kenya na Meta.

Akizungumza Jumanne wakati wa sherehe za Siku ya Jamhuri katika Bustani za Uhuru jijini Nairobi, Ruto alisema amezungumza na Meta na kampuni hiyo imekubali kuwaruhusu waundaji wa maudhui kupata mapato kutokana na maudhui yao; kupitia Instagram na Facebook.

🆕 Rais Ruto alisema watengenezaji wa maudhui sasa wataweza kupata riziki kwa kutoa maudhui kwenye Facebook na Instagram. Meta imeshaanza majaribio kwa baadhi ya watengenezaji wa maudhui wa Kenya wenye vigezo.

Ili kupata malipo kupitia maudhui, waundaji wa maudhui watapaswa kutimiza vigezo vifuatavyo:

🔘 Lazima uwe na umri wa miaka 18 na kuendelea.
🔘 Lazima uwe na followers 5,000 kwenye wasifu wako wa kibinafsi wa Facebook au wafuasi 10,000 kwenye ukurasa wa Facebook.
🔘 Kwenye maudhui yako ya video kwenye wasifu wako wa Facebook, uwe na jumla ya angal...

View original post
RT @NjiwaFLow: 💨 Watu wengi wamekuwa wakiuliza kuwa utawezaje ku-record simu zinazopigwa kwa kutumia simu yako ya Samsung!

Mostly, kuna baadhi ya model za Samsung zinasupport hii feature na nyingine zinakataa!

Zinazokataa unaweza uka-root na ku-add hii feature kwenye simu
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 17.3 kwa watumiaji wa iPhone

Mfumo huu ina sehemu mpya ya Stolen Device Protection
RT @TOTTechs: Lini tufanye space yetu ya

End of year - Tech Meet up

Let's talk technology.
🆕 Kesi ya Epic Games dhidi ya Google imechukua mkondo tofauti sana na vita yake ya mahakama na Apple.

Kulingana na The Verge, mahakama imeafikiana kwa kauli moja kwamba Google ilikuwa na ukiritimba haramu wa usambazaji wa programu na huduma za ulipaji wa ndani ya programu kwa vifaa vya Android.

Google na Apple zimelaumiwa kwa kuweka ubinafsi na ukiritimba katika kukuza biashara zao kwenye Apps na kuzionea kampuni na apps nyingine ambazo ni shindani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to install chatgpt-4 plugins
🌟 Unleash the Power of ChatGPT: Learn How to Install ChatGPT Plugins! 🌟

Welcome to ChatGPT Tutorials, where we dive into the world of artificial intelligence and cutting-edge technology! In today's tutorial, we're about to take your ChatGPT experience to the next level by showing you the step-by-step process of installing ChatGPT plugins.

🚀 Why Install ChatGPT Plugins?
ChatGPT is already an incredible tool, but with plugins, you can customize and enhance its capabilities to suit your specific needs. Whether you're a developer, a language enthusiast, or just curious about maximizing ChatGPT's potential, this tutorial is for you!

🔧 What You'll Learn in This Video:

The essential tools and resources you need to get started.
A detailed walkthrough on how to install ChatGPT plugins effortlessly.
Tips and tricks to troubleshoot comm...
🆕 Worldcoin imeunganisha huduma zake na Minecraft, Reddit, Telegram, Shopify na Discord.
🆕 Tesla imeonyesha roboti wake mpya wa Optimus toleo la 2 (Gen 2) na kuonyesha uwezo wake.

Roboti mpya wa Optimus Gen 2 ana uwezo wa kufanya kazi nyingi ambazo toleo la mwanzo la roboti lilikuwa haliwezi.
🔘 Toleo hili jipya la roboti wa Optimus Gen 2 lina mwonekano mpya wa kisasa zaidi.
Video ya toleo jipya la roboti wa Tesla - Optimus Gen 2 https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1734984236774617552#m
🔘 Optimus Gen 2 anaweza kutembea kwa speed (ameongezeka speed kwa asilimia 30% ukilinganisha na toleo la mwaka jana)

🔘 Amepungua uzito kwa Kilo 10

🔘 Anaweza kucheza squat
🔘 Ana mikono ambayo ina umakini katika kubeba vitu vinavyoweza kuvunjika - mfano mayai, kioo, n.k.

🔘 Mikono yake inaweza movements nyingi na kutambua ugumu wa vitu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung Galaxy A03s Reset Forgot Password Reset Not Working FIXED!!
Samsung A03s Hard Reset Not working solution
#samsu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 COOL INVENTIONS FOR ROOF OF YOUR HOME
Mind Warehouse ►

1) JellyFish Lighting

2) ScopeDome

3) SOURCE®
🔘Zamani, Apple ilikuwa inapanga lens za kamera katika upande mmoja; baada ya Apple kuanza kuweka lensi mbili kwenye kamera za iPhone.
Tetesi zinaonyesha Apple itaweka design ya iPhone X na iPhone 12 kwa pamoja. Sehemu ya kamera ya iPhone 16 (iPhone ambazo sio Pro) zitafanana