Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to build your own custom ChatGPT
πŸš€ Dive into the world of custom AI development with our step-by-step guide on building your very own GPT πŸ› οΈ Whether you're a developer, AI enthusiast, or simply curious about the magic behind language models, this tutorial is your gateway to creating a personalized GPT tailored to your specific needs.

πŸ” In this video, we break down the process into easy-to-follow steps, covering everything from selecting the right architecture and gathering training data to fine-tuning your model for optimal performance. No prior AI expertise required – we guide you through each stage, demystifying the complexities of building a custom GPT.

🧠 Learn the essential concepts of deep learning and natural language processing as we navigate through the intricacies of model architecture and training. Gain insights into the tools and frameworks that...
Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung!
InstantView from Source
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

10 things you didn't know you could make with a laser engraving machine, WAINLUX K8
how to make cool DIY laser engraver/
Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung!
InstantView from Source
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How To Use Dunder Methods In Python Tutorial (Magic Methods)
In this video I will be teaching you all the essentials you
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 4 |
Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 4 |

Link ya online IDE Github:
Link
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Tumia Namba mbili ndani ya WhatsApp moja. WhatsApp tricks ❀️
katika video hii utajifunza jinsi ya kutumia namba mbili ndani ya WhatsApp moja.
WhatsApp tricks.
Text Converter Encoder Decoder.apk
10.8 MB
Text Converter Encoder Decoder.apk
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

AMAZING CONCEPTS THAT YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse β–Ί

1) DEEP Sentinel System


2) SPACE URCHIN


3) Xpeng AeroHT
πŸͺ™ Thamani za Crypto kwa sasa!
πŸ‡°πŸ‡ͺ Rais William Ruto ametangaza kuwa kampuni ya Meta, imekubali kuweka mfumo wa mapato kwenye maudhui ya nchini Kenya baada ya mazungumzo yenye mafanikio kati ya Kenya na Meta.

Akizungumza Jumanne wakati wa sherehe za Siku ya Jamhuri katika Bustani za Uhuru jijini Nairobi, Ruto alisema amezungumza na Meta na kampuni hiyo imekubali kuwaruhusu waundaji wa maudhui kupata mapato kutokana na maudhui yao; kupitia Instagram na Facebook.

πŸ†• Rais Ruto alisema watengenezaji wa maudhui sasa wataweza kupata riziki kwa kutoa maudhui kwenye Facebook na Instagram. Meta imeshaanza majaribio kwa baadhi ya watengenezaji wa maudhui wa Kenya wenye vigezo.

Ili kupata malipo kupitia maudhui, waundaji wa maudhui watapaswa kutimiza vigezo vifuatavyo:

πŸ”˜ Lazima uwe na umri wa miaka 18 na kuendelea.
πŸ”˜ Lazima uwe na followers 5,000 kwenye wasifu wako wa kibinafsi wa Facebook au wafuasi 10,000 kwenye ukurasa wa Facebook.
πŸ”˜ Kwenye maudhui yako ya video kwenye wasifu wako wa Facebook, uwe na jumla ya angal...

View original post
RT @NjiwaFLow: πŸ’¨ Watu wengi wamekuwa wakiuliza kuwa utawezaje ku-record simu zinazopigwa kwa kutumia simu yako ya Samsung!

Mostly, kuna baadhi ya model za Samsung zinasupport hii feature na nyingine zinakataa!

Zinazokataa unaweza uka-root na ku-add hii feature kwenye simu
πŸ†• Apple imetoa mfumo mpya wa majaribio wa iOS 17.3 kwa watumiaji wa iPhone

Mfumo huu ina sehemu mpya ya Stolen Device Protection