Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ“Š Wasambazaji wakubwa wa Vifaa vya Kielektroniki Duniani.

(Ukilinganisha mwaka 2000 na mwaka 2021)
Kwa sasa mfumo mpya wa simu za Samsung ni mfumo wa Android 14 na One UI 6.0. Mfumo unaofuata wa One UI 6.1 utawekeza zaidi kwenye Galaxy AI.

Samsung imeanza majaribio ya mfumo mpya wa One UI 6.1. Katika mabadiliko makubwa ni uwezo wa akili bandia katika sehemu mbalimbali za simu ili kulingana na Android 14 ya simu za Pixels.

π™†π™–π™©π™žπ™ π™– π™₯π™žπ™˜π™π™– π™―π™žπ™‘π™žπ™―π™€π™«π™ͺπ™Ÿπ™–; π™Žπ™–π™’π™¨π™ͺπ™£π™œ π™žπ™£π™–π™Ÿπ™–π™§π™žπ™—π™ͺ 𝙠π™ͺπ™¬π™šπ™ π™– π™–π™ π™žπ™‘π™ž π™—π™–π™£π™™π™žπ™– π™ π™–π™©π™žπ™ π™– π™¨π™šπ™π™šπ™’π™ͺ π™―π™žπ™›π™ͺ𝙖𝙩𝙖𝙯𝙀:

πŸ”˜ Simu za Samsung zitakuwa na uwezo wa kutengeneza Wallpaper kwa kutumia akili bandia. Utaweza kuandika unataka picha ya aina gani, rangi, mwonekano na details - akili bandia itatengeneza HD wallpaper kuendana na maelezo yako.

πŸ”˜ Simu za Samsung zitaweza kuongeza ubora wa picha, ku-edit picha na kutengeneza picha kwa kutumia AI

πŸ”˜ Simu za Samsung zitaweza kuwa na uwezo wa β€œLive Translation” Zitaweza kutafsiri calls muda huo huo, kubadilisha ujumbe wa sauti kuwa maneno na kusaidia kujibu messages.
...

View original post
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

F1: Explained!
Formula One is my new favorite high tech sport. Here's everything you need to know about why.

Thanks, Bi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

17 Fast-Installation Solutions That Are Really Impressive
Mind Warehouse β–Ί

1) Solar GEM




2) Shade Haven


3)
Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung!
InstantView from Source
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to build your own custom ChatGPT
πŸš€ Dive into the world of custom AI development with our step-by-step guide on building your very own GPT πŸ› οΈ Whether you're a developer, AI enthusiast, or simply curious about the magic behind language models, this tutorial is your gateway to creating a personalized GPT tailored to your specific needs.

πŸ” In this video, we break down the process into easy-to-follow steps, covering everything from selecting the right architecture and gathering training data to fine-tuning your model for optimal performance. No prior AI expertise required – we guide you through each stage, demystifying the complexities of building a custom GPT.

🧠 Learn the essential concepts of deep learning and natural language processing as we navigate through the intricacies of model architecture and training. Gain insights into the tools and frameworks that...
Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung!
InstantView from Source
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

10 things you didn't know you could make with a laser engraving machine, WAINLUX K8
how to make cool DIY laser engraver/
Kioo Cha Kwanza Cha Apple Cha Kujikunja Kitakua Cha Samsung!
InstantView from Source
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How To Use Dunder Methods In Python Tutorial (Magic Methods)
In this video I will be teaching you all the essentials you
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 4 |
Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 4 |

Link ya online IDE Github:
Link