Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kwa wale ambao keyboard zao zina wasumbua wakati wa kutype haya ndo maelezo ya kufuata ili ukomboke🀝
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Zuia tiktok isikumalizie MB zako kwa haraka sana#tiktok#tiktoklite#tehama #tehamaonline #tiktoktanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #tiktokkenyaπŸ‡°πŸ‡ͺ #engmakelele #dandevantz #datasaver#ontrending#fyp#viral#
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Furiosa Trailer Review ( in Swahili )
#snashtz #furiosa #movies
Furiosa Trailer Review ( in Swahili )
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 3 |
Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 3 |

Link ya online IDE Github:
Link
πŸ“Š Hizi ni Akili Bandia ambazo zimetembelewa sana (zimetumika sana) kuanzia Septemba 2022 mpaka Agosti 2023
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

GPT Builder Actions Zapier AI Actions
πŸš€ Explore the synergy of GPT Builder Actions and Zapier AI in this game-changing tutorial! πŸ€–πŸ’‘ Learn how to seamlessly integrate the power of AI into your workflow using Zapier, unlocking new dimensions of automation and efficiency.

πŸ”§ In this video, we guide you through the process of creating intelligent workflows with GPT Builder Actions and Zapier. Discover how to leverage AI-generated content, responses, and decision-making within your Zapier automations, revolutionizing the way you handle tasks and communication.

🌐 Dive into the versatility of GPT Builder Actions, understanding how to craft custom AI actions that align perfectly with your Zapier workflows. From automating email responses to generating dynamic content, the possibilities are endless, and we're here to show you how.

πŸ’Ό Whether you're a business professi...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Want To Master Python? (End Of Year SALE)
Hope it was a great year for you guys, and I hope you enjoy the sale :)
Explor
Platform ya Google Podcast itafungwa rasmi April 2024 na haitafanya tena kazi na apps zake zitaondolewa katika Google Play Store (kwa watumiaji wa Android) na App Store (kwa watumiaji wa iPhone).

Google itaweka Podcasts katika app ya YouTube Music. App ya YouTube Music itakuwa na miziki (ya Audio) na Podcasts - kama Spotify.

Google inafanya hivyo ili kushindana na Spotify ambayo imekuwa ikifanya vizuri kwa kuweka Podcasts na Nyimbo katika app moja ambayo ni nyepesi na simple kuitumia.

Tatizo, YouTube Music bado inapatikana katika nchi chache.
πŸ“Š Wasambazaji wakubwa wa Vifaa vya Kielektroniki Duniani.

(Ukilinganisha mwaka 2000 na mwaka 2021)