Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.72K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka picha au video kwenye Status bila kupunguza ubora wa picha/video.
WhatsApp itaweka option ya HD katika sehemu ya kuweka Status hivyo mtumiaji wa WhatsApp ataweza kuweka picha/video bila kupunguza ubora wa picha au video.
Threads app kutoka Instagram imeongeza kipengele cha hashtag kilichokuwa kinasubiliwa na wengi ndani ya mtandao huo.
Hivi sasa watumiaji wataweza kuongea alama ya # kupitia maandishi au kitufe kidogo sehemu ya kuanda thread post.
Alama hii inaelekeza post zote jumuishi chini yake na kuzileta pamoja kama ilivyo kawaida kupitia mitandao na majukwaa mbalimbali mtandaoni.
#Hashtag #Threads
WhatsApp Channels sasa zinaweza kuwa na admin wengi.
Wamiliki wa WhatsApp Channels wanaweza kuwaalika watu wengine kusimamia. Kipengele hiki kinawapa admins wapya uwezo wa kutuma masasisho na kutazama maelezo ya mmiliki/muanzilishi wa WhatsApp Channel.
#WhatsApp #WhatsAppChannels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Why Don't More Smartphones Have This?
The ultimate anti-reflective mat
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hizi Hapa "DETAILS" Zilizofichwa /GTA VI Trailer Review
#snashtz #games #gta6
Hizi Hapa "DETAILS" Zilizofichwa /GTA VI Trailer Review
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Itel A18 A512W Hard Reset
Hard Reset Itel A18 A512W Without PC Unlock
🆕 MacDonald imesema 2024 itaanza kutumia Akili Bandia ya Google ili kutambua kama chips zimeiva vizuri na kusimamia shughuli za maandalizi ya vyakula na usimamizi wa baadhi ya shughuli.

corporate.mcdonalds.com/corp
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kufanya setup ya Router |#wifi
Jinsi ya kufanya setup ya Rout
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Fahamu haya MAPEMAA kabla hujachukua MKOPO online kwa simu!
Katika video hii utajifunza Mambo ya kuyafahamu kabla hujapata mkopo online.

kumekuwa kuna video nyingi sana zikikueleza jinsi ya kupata mkopo online kwa simu yako.

pia huwa tunakutana na matangazo mengi ya mkopo yakieleza yanatoa mikopo kwa riba nafuu bila dhamana, lakini zipo siri nyingi zilizo fichika chini yake.

zipo katika kila kampuni za mikopo kama Branch, pesax, mkopowako, mshikofasta,
Ni katika mfululizo wa visldeo za kupata mikopo rahisi kupitia simu yako kirahisi, video ilio pita nilizungumzia app 10 bora za mikopo waweza tazama,
app hozo ni kama, premier cash, cashx app, tala Tanzania, Brach, onepesa, pesax, umoja loan

#mkopo
#maujanja
#loan
#finace
WhatsApp imeweka uwezo wa kutuma Voice Message ambayo itakuwa inapotea baada ya kusikilizwa. Ukituma Voice Message kwa mtu, itakuwa inapotea baada ya huyo mtu kuisikiliza.

Uwezo huu mpya utasaidia kwa wale ambao hawapendi sauti zao zibaki katika chats au wale ambao wanatuma ujumbe wa sauti ambao hawapendi mtu atume kwa watu wengine au kurekodi.

Kwa watumiaji wa Android wanatakiwa kuwa makini kwa sababu mtu anaweza kurekodi screen na kuipata hiyo Audio; kwa watumiaji wa iPhone hawawezi kurekodi au kupiga screenshot.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

BLADE Announcement Trailer / Movie itakuaje ?
#blade #marvel #snashtz
BLADE Announcement Trailer / Movie itakuaje ?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unda Picha Kali kwa AI hizi 5 BORA, kwa simu yako
katika video hii uta
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jifunze coding kutokea ziro -Lugha C | 2 |
Jifunze coding kutokea ziro
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CONSTRUCTION TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse
📊 Mada ambazo zimesomwa sana kwenye mtandao wa Wikipedia mwaka huu 2023 👇🏼